kova yuko bizy na gwajima
kova anaingiaje hapo mkuu!
kova yuko bizy na gwajima
kova yuko bizy na gwajima
Serikali iwaombe msamaha waganga wa kienyeji,tutakwisha
Why ccm and not chadema cuf or act?
Sasa nani alaumiwe kwa kuwapa madaraka watu wanaoamini nguvu za giza na kupelekea haya!?Hapa rafiki naona kuna zaidi ya barabara. Jiulize; kwa nini tunasikia ajali nyingi mwaka wa uchaguzi? Ni ajali za barabarani kweli au makafara? Inauma sana kuona watanzania tunatoana sadaka kwa ajili ya uongozi tu (iwapo ni makafar ya uchaguzi)