vidodi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2014
- 363
- 130
Hii sasa ni balaa hakuna siku inapita bila ajali ya bus!wachawi wa ccm wabaya sana
Why ccm and not chadema cuf or act?
Hii sasa ni balaa hakuna siku inapita bila ajali ya bus!wachawi wa ccm wabaya sana
Hii sasa ni balaa hakuna siku inapita bila ajali ya bus!wachawi wa ccm wabaya sana
Sijui tusemeje sasa, hii inatosha jamani!
Je, na matokeo ya design za barabara zinazoendana na viwango vya BRN - matokeo makubwa sasa au ni harakati za wanasiasa wa Kitanzania kuelekea 2015!?
Chanzo cha ajali nini Mkuu
Basi la kampuni ya Jordan limepinduka na kuua watu 8 kilometa 6 kutoka mji wa nzega.lilikua likitokea mwanza kwenda moshi.
Mungu wangu! Itabidi kuwe na utaratibu rasmi wa kuanza na Sala kabla ya Safari. Uwepo utaratibu wa watu kuomba ( Kil mtu kwa imani yak) walau kwa dakika moja kabla safari hazijaanza. Mungu wetu sio kiziwi hata asitusikie. Inatohsa sasa jamani.
Kwanini hayo mabasi yaasifungwe tracking devices ambazo zitaonyesha speed ya gari then traffic police wanakuwa na control center yao wanamonitor hayo magari dereva akizidisha wanaweza kumpigia simu kumpa onyo na endapo ataendelea na huo mchezo wanawasiliana na kituo cha polisi karibu na eneo gari linapoelekea dereva anabadilishwa na yule aliyekuwa na makosa anabaki hapo kusubiri kusomewa mashtaka.
serikali haikutakiwa kusalimu amri kwa madereva na wenye mabasi krahisi .
Kova kusema "madereva hoyeee" ubungo amekosea sana!.
Hakupaswa kuwafagillia. Eti hakuna tochi tena kwamaderva/ mabasi wala...... Amefanya kisiasa zaidi
naisikitikia nchi yangu. Hili lawezekana tz tuu!
Nisaidieni hii ni ajali ya leo tar.15/04/'15 au ya jana? Ni ipi taarifa sahihi ya waliopoteza maisha kati ya mmoja na wanane? Sasa hizi bus zisafiri chini ya askari mmoja mmoja wa jwtz na dereva kila akitaka kunywa maji afunguliwe chupa mpya na askari asije weka kiroba.Na awe chini ya usimamizi wake hata akiingia hotelini asijevuta bangi au kubwia madawa ya kulevya hadi mwisho wa safari.Gharama za askari zigharamiwe na tajiri wa gari. Ni pendekezo tu maana naona wapiga kura wanapunguzwa na hizi ajali.
sikubaliani na ulichosema. Nafikiri ungeshauri kuwa serikali iunde tume ya wataalamu wachunguze vyanzo vya ajali na kwa nini imetokea mwaka huu wa uchaguzi na sio kipindi kingine chochote ungetoa ushauri wa busara sana.