Mpaka huu uchaguzi upite TANZANIA yote itakuwa misiba ya ajari kila koo. Imetosha Mungu atusaidie
ccm & act wanatoa kafara
uchaguzi una uhusiano gani na hizi ajali?
Mkuu, kufunga hii kitu watakwambia ni ghali japo pia ni kwa faida yao wenyewe. Kufunga hii kitu kwa gari moja ni kama $750 japo subscription kwa mwaka $300 hivi lakini somo halitaeleweka kwao.
Sipandi basi mpaka uchaguzi upite!
Bakia na mtazamo wako ila ipo siku utatambua kilichopo nyuma ya pazia.