AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

attachment.php

Madereva wanavuta petrol wakati magari yao yanatumia diesel
 
Kwanini hayo mabasi yaasifungwe tracking devices ambazo zitaonyesha speed ya gari then traffic police wanakuwa na control center yao wanamonitor hayo magari dereva akizidisha wanaweza kumpigia simu kumpa onyo na endapo ataendelea na huo mchezo wanawasiliana na kituo cha polisi karibu na eneo gari linapoelekea dereva anabadilishwa na yule aliyekuwa na makosa anabaki hapo kusubiri kusomewa mashtaka.

wakiambiwa wafanye hivyo watagoma huku wakisema serikali imebuni mpango wa kupiga hela....watagoma na watapata support ya watu wengi wakiwemo members wa humu.
 
attachment.php

Madereva wanavuta petrol wakati magari yao yanatumia diesel

hapo abiria wanashangilia. ukimkemea dereva basi zima wanakugeukia wewe mmoja! likipata ajali hapo watasema barabara nyebamba.....sasa kama barabara nyembamba kiherehere cha kwenda mwendokasi mnatoa wapi??!!!
 
Basi gani linalofuata kupata ajali mtuambie kabisa hiyo ratiba wauaji wakubwa nyie .
 
Bus la kampuni ya Air Jordan linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Arusha limepata ajali muda huu. Mpaka sasa haijulikani ni watu wangapi wamefariki.

SWALI: Je kuna uhusiano wa ajali hizi mfululizo na uchaguzi mkuu 2015?
 
Attachments

  • 1429091592329.jpg
    1429091592329.jpg
    74.1 KB · Views: 487
  • 1429091609727.jpg
    1429091609727.jpg
    91.7 KB · Views: 496
Basi la kampuni ya Jordan lenye namba za usajili T650 AQZ, linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Moshi limepata ajali maeneo ya Kitangiri, Nzega.Mpaka sasa mtu mmoja amepoteza maisha baada ya kulaliwa na basi hilo.

Basi hilo lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Arusha, linaelezwa kuwa lilipinduka baada ya kumshinda dereva katika eneo lenye kona kali.

Mungu tunusuru.

1429091592329.jpg

1429091609727.jpg
 
hiyo picha sijui niya kweli?
 
Attachments

  • Jordan.jpg
    Jordan.jpg
    70 KB · Views: 461
hapo abiria wanashangilia. ukimkemea dereva basi zima wanakugeukia wewe mmoja! likipata ajali hapo watasema barabara nyebamba.....sasa kama barabara nyembamba kiherehere cha kwenda mwendokasi mnatoa wapi??!!!

True kaka! Ukiuliza unaambiwa barabara nyembamba..... kwani imejengwa jana? Mbona miezi kadhaa iliyopita ilikua inatumika bila ajali yoyote???
Kwa nini iwe ni mwaka huu wa UCHAGUZI?
Hakika kuna jambo la GIZA linaendelea!
 
Ee Mungu wa Mbinguni turehemu kwa namna ambavyo ardhi ya Tanzania inakunywa damu za Watu. Mpaka October tutakuwa tumepoteza wengi, hii inasikitisha jamani, tumwombe Mungu kwa uweza wake akomeshe hizi ajali.
 
Imefika wakati haya mabasi yafungwe ccctv camera ili trafiki wajue madereva wanaoendesha bila kufuata kanuni za usalama barabarani..

Yutong nyingi zina cctv ni kias cha kuzutumia tu mkuu.
 
Kwanini hayo mabasi yaasifungwe tracking devices ambazo zitaonyesha speed ya gari then traffic police wanakuwa na control center yao wanamonitor hayo magari dereva akizidisha wanaweza kumpigia simu kumpa onyo na endapo ataendelea na huo mchezo wanawasiliana na kituo cha polisi karibu na eneo gari linapoelekea dereva anabadilishwa na yule aliyekuwa na makosa anabaki hapo kusubiri kusomewa mashtaka.

Mkuu, kufunga hii kitu watakwambia ni ghali japo pia ni kwa faida yao wenyewe. Kufunga hii kitu kwa gari moja ni kama $750 japo subscription kwa mwaka $300 hivi lakini somo halitaeleweka kwao.
 
Ajali za sasa tunaweza sema bora malaria kuliko ajali
 
hivi chanzo haswa cha ajali kufululiza ni nini haswa
 
dah tatizo nn dah harafu tochi ndo ivyo zimevutwa kila kitu siasa tu dah noma sana sheria za barabarani dah mwendo kasi dah madereva na pombe dah wanachoka sana dah hawana mda wa kupumzika dah wakipumzika wanaenda baa dah kesho wanaanza safari dah rushwa je dah barabara mbovu dah magari yanakaguliwa je dar service kabla ya kuondoka dar MUNGU TUSAIDIE
sheria aina macho wanayoiongoza vipofu
 
Nimepewa taarifa hapa basi la kampuni ya jordan imedondoka mda si mrefu eneo la nzega kilomita 6 kutoka hapo likitokea mwanza kuelekea moshi zaidi ya watu 8 wamepoteza maisha

Kwa yoyote mwenye taarifa zaidi kuhusu chanzo cha ajali na majeruhi tupatieni taarifa
 
Back
Top Bottom