MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
Serikali haikutakiwa kusalimu amri kwa madereva na wenye mabasi krahisi .
Kova kusema "Madereva Hoyeee" Ubungo amekosea sana!.
Hakupaswa kuwafagillia. Eti hakuna tochi tena kwamaderva/ mabasi wala...... Amefanya kisiasa zaidi
Naisikitikia nchi yangu. Hili lawezekana TZ tuu!
Hakuna uhusiano mkuu hata kama wangerudi darasani mapepo huwezi yazuia na vyeti ya darasani ni maombi tu yanatakiwa yafanyike. Kinachotokea ni attack za wachawi wanaotafuta damu na hawa huwezi kuwaona kwa cheti bali maombi ya kufunga na kukemea