hizo gari zimechoka sana[/QUOT
Huo ndio ukwelimabasi ya hood mengi yamechoka
Iran Kuna sehemu inaitwa chalus....kitonga inasubiri yaani so mchezo.....lkn NashangA ajalii hazitokei sana....Ila panatisha sananitakuwa mwenye furaha kuliko wote shangwe nakurukaruka nikisikia hakuna vifo wala majeruhi. Mungu wajalie hao abiria warudi salama Kwa familia na wapendwa wao
Kitonga cha mtoto.....Iran Kuna sehemu inaitwa chalus...panatisha ROAD ni nyembamba sana..huko chini ukipacheki ohhh balaaaHapo kitonga nafikiri hata madereva wanapaogopa maana panatisha, unaweza kipak gari ukaomba msaada wa kuvushwa, so serikal iangalie upya miundo mbinu ya KITONGA ni noma aiseeee!
Huyo ndiye yule mmoja kati ya wanne.Huyu lazima ana matatizo ya akili
Hood anatutaka nini watanzania
Vingine sio vya kuogopa hii ni taarifa yenye manufaa kwa wengiNi kweli hii ajali nimeikuta kona ya sita tokea huku upande wa kutoka Iringa ......basi ni Hood linalotoka mbeya kwenda Arusha ......waliokufa wapo na majeruhi ni wengi .....BT nashindwa kuweka data kamili...coz of TCRA Mimi si msemaji ...rasmi.....ila hili jambo nilakweli
Hawa watu wana matatizo gani? Huku Arusha jana usiku Hood ilikuwa inavutwa cheni ikakatika likaingia kwenye baa moja hivi , leo tena khaaaaa
Mkuu mikanda kwa gari bovu kama hilo itatoka wapii!?Hapo ndio umuhimu wa kufunga mikanda unapokuja
Poleni kwa wahanga woteNina swahiba anasafiri mida hii to Mbeya amenitumia SMS kuna basi la Hood limetumbukia Kitonga. Kupata more details wenye ndugu waliokuwa wanasafiri kuelekea au kutoka Pande hizo na Hood tafadhalini fatilieni.
UPDATE;
Basi la HOOD limepata ajali Mlima kitonga muda huu, taarifa zaidi zitatolewa na vyombo Husika.
Mungu waponye na uwape uzima wote
View attachment 425172 View attachment 425164 View attachment 425166
Mkuu hiyo iliyoingia bar ilikua na kiu ya balimiHawa watu wana matatizo gani? Huku Arusha jana usiku Hood ilikuwa inavutwa cheni ikakatika likaingia kwenye baa moja hivi , leo tena khaaaaa
1 kati ya wale 4.Huyu lazima ana matatizo ya akili