Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Ubovu wa magari nao unachangia ajali
Mmmm, hii kampuni nayo, imekuwa na matukio ya ajali mengi sana, kulikoni!!?
Tuendelee kuomba wandugu,ili walau madhara yawe kidogo.Duuuuh! Majeruhi hawawezi kukosa mungu awatie nguvu na wepesi katika afya zao.
Mungu awaponye majeruhi masking Kitonga panatisha sana
Mkuu hivi upo?Hapo ndio umuhimu wa kufunga mikanda unapokuja