Mbona matrafiki wamejazana road mkuu..dar Moro masas manne na nusu....hiyo ajali itakuwa uzembe wa madereva...si unajua kitonga hakuna trafik wanao kaaaPoleni majeruhi. Kamanda Mohammed Mpinga upo? Mwisho wa mwaka umefika panga timu yako vizuri raia tunakwisha.
nipo mkuu....Mkuu hivi upo?
Nakubaliana na wewe kabisa.Huyu lazima ana matatizo ya akili
Hapo kitonga nafikiri hata madereva wanapaogopa maana panatisha, unaweza kipak gari ukaomba msaada wa kuvushwa, so serikal iangalie upya miundo mbinu ya KITONGA ni noma aiseeee!Mbona matrafiki wamejazana road mkuu..dar Moro masas manne na nusu....hiyo ajali itakuwa uzembe wa madereva...si unajua kitonga hakuna trafik wanao kaaa
OVA
Mkuu usahihi ni waathirika na si wahanga.Pole kwa Wahanga Wote!