Georgemkali wao
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 180
- 118
Arusha hamna balimi kule ni Kibo na EagleMkuu hiyo iliyoingia bar ilikua na kiu ya balimi
Arusha hamna balimi kule ni Kibo na EagleMkuu hiyo iliyoingia bar ilikua na kiu ya balimi
Wana roho za kwaniniNyie mods mna nongwa sana.Mi nilileta uzi ukiwa na picha za basi la Hood likiwa korongoni kabisa nikawaomba muunganishe na huu uzi lakini mpaka sasa kimya na uzi wangu mmeuondoa!.
Baa gan mpendwaHawa watu wana matatizo gani? Huku Arusha jana usiku Hood ilikuwa inavutwa cheni ikakatika likaingia kwenye baa moja hivi , leo tena khaaaaa
Nilipanda hood toka Arusha kwenda morogoro kusalimia waliguru kwa kweli KUWA hai leo ni kudra ya Mungu. Jamaa anakimbiza gari na ku overtake bila kujali anaona mbele. Nilihesabu tulikoswa koswa mara tano kupata ajali. Nikamwita tandiboi nikamtuma amwambie derivatives KUWA sisi hatuna haraka lakini wala hakufanya chochote ndio akaongeza mwendo. Hilo basi sipandi tena hata kwa malipo.Kama ni lile la Arusha basi ni balaa, linakimbia noma, liliwahi kutupita Kitonga na kuyakata magari mengine kila mtu kwenye gari alishika kichwa. Mungu aepushie mbali
You got a point.mabasi bora kodi kubwa sana inawafanya hao wafanyabiashara hiyo wengi waunge unge na mabasi mabovu yaliyopo Serikali jali watu wako punguza kodi ya mabasi watu walete basi starndard na si hayo hata balance hayana ilo lililopata ajali baada ya mwezi utaliona bara barani ajali zitapunguaje? Zambia na Zimbabwe basi likipata ajali abiria wanahudumiwa na mwenye basi gharama zote bongo ni hadithi tuu zinaishia kufungia basi na kufunguliwa kwa Rushwa..ninyi mlipunguza kodi ya maroli kwamba mizigo ni bora kuliko Raia wenu..
Mkuu hata mm nilipoona taarifa hii kabla ya picha nilijitahidi kuomba vifo na majeruhi visitokee lkn baada ya kuona picha stimu ya maombi imekata nimeamua kumuachia mungu tuduh mola aepushe vifo na majeraha. wasalimike wote, amina.
Sana mkuu, we call them "kwasukwasu"hizo gari zimechoka sana
hahahahahaaaa, kwasukwasu!Sana mkuu, we call them "kwasukwasu"
Yeah! Hiyo ndio flavor unayoipata ukiwa safarini na hood, ikipanda tuta unaomba poo.hahahahahaaaa, kwasukwasu!
hahahhahahaahaaaa cjui sumatra wanakagua?Yeah! Hiyo ndio flavor unayoipata ukiwa safarini na hood, ikipanda tuta unaomba poo.