Ajali: Basi kampuni ya Katarama na Libanika (Tanzanite)

Na hapo kuna mchakato unaendelea chini ya kamati ya usalama barabarani kuruhusu magari ya abiria kutembea 24hrs.
 
Hao abiria wanakuaga wapii had wanashuhudia hizo league uchwara?
Katarama juzi imenipita Niko na gari ndogo tungekua viburi na binamu zangu mda huu mngeweka tanzia reymage hatunae Tena,kagongwa na katarama Ile gari inapaaa Jamani...
Mmeshuhudia maeneo ya chamwino anaovateki kama Yuko njia nane vile....
Sio Siri Ile gari nuksi...yaani tulipaki kwanza pembeni kuvuta pumzi a
 
Kheeeh mlongo hebu sema kwelii??
 
Wabongo wengi tuwajinga
 
Kheeeh mlongo hebu sema kwelii??
Serious katarama siku wakipata ajali kubwa it will massive tragedy wengi watapoteza maisha gari inapaa yaani Inakuja kama nyumbu mwanzo mwishooo....ni balaa tupu
Ile ukiona ACHA ipite anakuvaaa tu
 
NIseme tu huyu bwana anaitwa SHABIBY nimependa sana discipline, consistency na Smartness yake kwenye biashara ya Mabasi.
Shabiby ana Sheria Kali ,ukipigwa fine unalipaa dereva tajiri hahusiki Niko Dom Mwaka wa tatu sijawahi skia ajali,nikisafiri shabiby ndo first priority then BM
 
Serious katarama siku wakipata ajali kubwa it will massive tragedy wengi watapoteza maisha gari inapaa yaani Inakuja kama nyumbu mwanzo mwishooo....ni balaa tupu
Ile ukiona ACHA ipite anakuvaaa tu
Basi hatariii sanaaa.
 
Hizi ni mambo ya bet... Unakuta gari linatoka Mwanza... Likifika mapema stend ya Dodoma kuna hela ya dereva....
Akifika mapema Mbezi Dar kuna hela tena ya kubet..
Hizi kamari za mabasi zinawafanya madereva wawe vichaa barabarani
 
Kuruhusu buses kusafiri Usiku tulisema humu ni jambo litaumiza wengi.

Uzembe barabarani utaongezeka ajali zitakuwa nyingi vifo vingi.

Taasisi husika iliangalie hili jambo kwa jicho la tatu kama sivyo tengenezeni reli watu wasafiri kwa train nukta.
Tatizo la ajali usiku halisababishwi na usiku bali akili zetu wenyewe.Madereva wa mabasi ya abiria kuna ujinga wanaouendekeza ndo sababu ya ajali.Yusifiche mapungufu yetu kwa kuyakimbia.Mwisho wa siku tutakua tuko nyuma ya wakati wakati dunia inakimbia.
 
Hivi abiria wao hawawambii? Au hawaoni huo mwendo hatarishi?
Muda mwingine abiria wanapenda na kufurahia mwendo mkali
Siku Moja nilikuwa nilipanda Abood iringa to mbeya, wale jamaa walikuwa taratibu sana kiasi Cha abiria kuwapigia kelele waongeze mwendo
Imagine Abood aliingia mbeya saa 4 usiku wakati Sauli na New Force wanefika zao saa 12
 
Safari Za usiku kwa mabasialiyetangaza ni Waziri Mkuu, nilitarajia awe wa kwanza kusafiri usiku kwa kutuma bus la Sauli, akifika atuambie hali ikoje
 
Hili bus alfajiri ya leo lilitaka kusababisha ajali mbaya sana eneo la Mwendapole Kibaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…