Ajabu lakini Kweli

Ajabu lakini Kweli

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,959
Reaction score
828,674
1. Mwanasheria anatumai utaingia kwenye Shida. (Uwe mtuhumiwa)

2. Daktari anatumai uuumwe/upate shida ya kiafya

3. Polisi anatumai uwe Mhalifu.

4. Mwalimu anatumai Uwe Mpumbavu

5. Mwenye Nyumba anatamani usujenge Nyumba yako

6. Daktari wa meno anatumani meno yako yaoze

7. Fundi anatumai gari lako liharibike

8. Mtengeneza majeneza anataka ufe.

9. Ni Mwizi pekee ndiye anayekutakia Mafanikio katika Maisha yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muuza dawa ana subiri mteja hapa 😆

FB_IMG_17069936566927530.jpg
 
ndio mfumo wa maisha ulivyo kutegemeana, nasi binadamu tunategemea kupata kitoweo kwa wanyama kama mlo ambayo hio inagarimu maisha yao.
tupo kwa kufaana na kufaidiana
 
1. Mwanasheria anatumai utaingia kwenye Shida. (Uwe mtuhumiwa)

2. Daktari anatumai uuumwe/upate shida ya kiafya

3. Polisi anatumai uwe Mhalifu.

4. Mwalimu anatumai Uwe Mpumbavu

5. Mwenye Nyumba anatamani usujenge Nyumba yako

6. Daktari wa meno anatumani meno yako yaoze

7. Fundi anatumai gari lako liharibike

8. Mtengeneza majeneza anataka ufe.

9. Ni Mwizi pekee ndiye anayekutakia Mafanikio katika Maisha yako!

Sent using Jamii Forums mobile app

Maisha ni matatizo..
 
Mkuu Dactari na Mwalimu umewaonea,this is charity work kaka,na wito kama wito mwingine japo wachache wanautumia ndivyo sivyo,but 90% am telling you wanajitolea kikoree.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom