Dah! hilo swali na hilo jibu!
dah,hcho ni kimeo,si unaona na jina lake!
Dah! hilo swali na hilo jibu!
kweli mzee chenge umeamua. Kila la heriMbunge wa Bariadi pamoja na tuhuma nzito zinazo onyesha negative atitude kwa WATZ kama vile tuhuma dhidi ya rada, kumiliki mabilion ya fedha nje ya nchi, kutia mkono wa kumuondoa spika SITTA aliye pendwa na WATZ wengi kuwa spika wa Bunge.
Leo napata habari mbaya kwetu kuwa CHENGE amepeleka ushauri mzito wa kisheria ili DOWANS walipwe sh. 94 bil.
Source GAZETI LA NIPASHE.
CHENGE kama kuna kosa WATZ wamekufanyia basi wasamehe bure, mbona wao wanakupenda wamekupa ubunge (kama hukuchakachua) kuonyesha wanakupenda tusamehe tu hata kama una mgawo DOWANS.
Acha ndoto za mchana wewe. Muulize Nape kama ana ubavu tena hata wa kuongea kuhusu mafisadi. Ameshapewa karipio kali na Bw. mkubwa nguvu atazitoa wapi tena? Mafisadi wataendelea kutesa kwa raha zao!!!Siku 90 watatatoka tu.Nape ndiyo kiboko yao...watakoma
Jee kuna sababu yoyote ya maana kwa kutumia huduma ya mtu halafu usimlipe?
Hiyo picha yako inaonesha una busara kumbe!!! huo utaalam wa sheria alionao sana huyo Chenge si ndio ule ulioitia aibu serikali yake mpaka waziri wa mambo ya nje analalama kwa waingereza? Zaidi ya miaka kumi iliyopita alikuwa mbumbumbu wa kisheria tena akiwa mwanasheria mkuu, akaishauri serikali kununua rada kwa double price hakuona athari zozote. Huo ujuzi kautoa wapi leo kuona athari za kutoilipa Dowans?
PELEKA UJINGA WAKO HUKO KIBARAKA WA MAFISADI WEEE.
Anyongwe
Mkuu unamtajia Tanzania daima unafikiri anasoma hilo gazeti huyu?huyu katumwa hapa special kwa kazi maalumu.Naweza kukubaliana na wewe kwamba huenda "... kaiona sheria kwa jicho la wazi ..." jibu ambalo linaturudisha kwenye kiini cha tatizo. Mifumo iliyopo nchini imewekwa kifisadi kwa usimamizi na kwa maslahi ya mafisadi. Ndio maana Chenge leo akiwa miongoni mwa wale wale waliotunga sheria waliweka mianya ya wao "kutokea" pindi mambo yanapoharibika kama ilivyo leo. Hivyo haishangazi kwamba leo kawa wa kwanza "kuiona sheria kwa jicho la wazi".
Kwa wenye akili zao kinachotakiwa kupiganiwa leo ni kuung'oa mfumo mzima wa kifisadi badala ya kuishia kwenye tantarira za kujivua magamba - wizi mtupu. Hebu soma makala ya Mwanakijiji kwenye Tanzania Daima la leo uone ni kwa nini Tanzanzani ni masikini wa kutupwa - tatizo kuu ni UFISADI.
ofcourse,kama mtu mwenyenye ni kama ww kwanini nimliipe?
Dada, unafaa kuwa mke wa Nape wallah....maana mnafit kwelikweli!
Kabisa mkuu huyu ni kikoromeo kabisaaaaa!dah,hcho ni kimeo,si unaona na jina lake!
mamaaaaa! yani wewe ndo umekua zabibu?ameacha lini kuwa matango pori?!Sungura alipokosa zabibu!