Aisha madinda anaumwa nini?

lazima tujue hakuna binahamu atakayeishi milele. mwacheni dada yetu msimuandame!
 
Mwenyezi mungu amhafu (ammpe uzima) bi aisha madinda mbegu ili aweze kuendelea na shughuli zake kama kawaida.... Amen.
__________________
KAMA UNGEJUA KUSALI HIVI,,SI UNGEMWOMBEA NA MKEO KABLA YA KUJA KUMDODOSA HUKU!!!!!
NAWEWE ZA FASTA PALE NANIIINO UMEACHA\????????
 
Inawezekana ana aina flani ya elephantiasis....

Ila Aisha bonge la totoz jamani....I've been lusting for her ever since I've known of her.....
Na wewe umesoma PCB? mhhhh sidhani na kama umesoma basi sio special skuli tena ile Kula Lala faulu [KLF].Hapa YNIM ndio anaweza kujibu swali kifasaha
 
Na wewe umesoma PCB? mhhhh sidhani na kama umesoma basi sio special skuli tena ile Kula Lala faulu [KLF].Hapa YNIM ndio anaweza kujibu swali kifasaha

Huwezi kujua hata siku moja mimi nimesomea nini na wapi!! Kujua kuhusu haya ni zaidi ya PCB...

Kwa kukusaidia tu elephantiasis is a gross enlargement of the arms, legs, your privates, etc. I'm not going to go deep about so as not to confuse you. But if you have any questions just holla....
 
Huwezi kujua hata siku moja mimi nimesomea nini na wapi!! Kujua kuhusu haya ni zaidi ya PCB...

Kwa kukusaidia tu elephantiasis is a gross enlargement of the arms, legs, your privates, etc. I'm not going to go deep about so as not to confuse you. But if you have any questions just holla....
Huyu dada labda umemjua kule ze sweet...
 
Labda kagusa mawayawaya maana amekuwa mgonjwa kwa kipindi kirefu sasa. Mwenyezi Mungu amsaidie ili apone na kurudia afya yake.
 
..........
obamapalin.jpg

.......................hatujui, labda sabau ya kucheza muziki sana. Huenda hao hapo juu nao watakuwa vivyo hivyo wakiendelea kucheza sana
 
Inasemekana Aisha Madinda Mbegu ameanza kusumbuliwa tena na ule ungonjwa wa kuvimba mwili (miguu). Je huu ni ungonjwa wa aina gani.... maana kuna kipindi aliwahi kusema ameshapima NGOMA na yupo safiii. Sasa ni nini hasa kinamsumbua dada yetu???

Mungu atakusaida dada yetu upone na uendelee na shughuli zako kama kawaida.


Mungu amsaidie na apone haraka........

Hata hivyo nashangazwa na wasiwasi aliouonyesha Domo Kaya kuhusu ugonjwa wa huyu dada mpaka kufikia hatua ya kuongelea suala la yeye (Aisha) kwamba alishapima ngoma. Je linakuhusu nini? Au ulishawahi kuwa mshika dau?

Nakushauri ukapime haraka ili upange mipango yako mapema badala ya kuendelea kuwa na wasiwasi.
 
Kwa ufupi kila binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi. Hata hivyo, kuugua kwa Madinda si issue ya kushangaza,naona tuni kwa vile ni celebrity ndo maana tunajali kumwandika. Vinginevyo wapo wengi wanaoumwa na kwa kuwa they are not celebrities then hakuna anayewatambua, hebu twendeni pale Ocean Road Cancer Institute na Muhimbili tukawaone wanajamii wetu wanavyoteseka. Uso hazitamaniki kabisa, na miili yao imevimba sana na ni wale ambao ni 89.9 percent ya watanzania wanaoishi below 2 dollars a day!!!!! Ukishawaona hao nafikiri Aisha Madinda hatakuwa na nafasi ya kuandikwa hapa bali tutaweka picha na taarifa za hao niliosema. Good day na wale ambao hamjaamka US na kwingineko usingizi mwema.
 
Kuna dawa zinaitwa ARV baadhi ya watu wakizitumia huwa wananenepa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom