Aisha madinda anaumwa nini?

Aisha kama unasoma hapa tubu na umrudie MUNGU wako yeye peke yake ndo mponyaji!atakurudishia afya yako haijalishi unaumwa ugonjwa gani!
 
Mungu amsaidie na apone haraka........

Hata hivyo nashangazwa na wasiwasi aliouonyesha Domo Kaya kuhusu ugonjwa wa huyu dada mpaka kufikia hatua ya kuongelea suala la yeye (Aisha) kwamba alishapima ngoma. Je linakuhusu nini? Au ulishawahi kuwa mshika dau?

Nakushauri ukapime haraka ili upange mipango yako mapema badala ya kuendelea kuwa na wasiwasi.

Thankx kwa ushauri wako mkuu, leo nitapita pale amref nikacheck afya yangu ila na wewe karibu. si unajua kilio cha wengi......................
 
madindabc.jpg?w=427&h=640[/IMG]
Sawa ndugu doctor, naumwa nini??? na wewe unaumwa nini??????

aisha-madindabc.jpg
 
Kuvimba sana sana ni kwa sababu mtu anaretain maji mwilini...and ku retain maji ni kwa sabau ya HBP... Oedema haswa kwenye miguu.

Kwani sio maradhi ya kushangaza!!! Akapime HBP halafu na sukari (diabetes)

Pia inaweza kusababishwa na FIGO kushindwa kufanya kazi ipasavyo.
 
namuombea afya. asisahau kumuomba mola wake amponye kwani
mola ni zaidi ya daktari. asikate tamaa akumbuke siku zote kwamba
dawa si chumvi (kwa sababu chumvi hukolea mara moja lakini dawa!
wakati mwengine huchukua muda mrefu kufanya kazi)
 
Ngoma inaweza kusababisha heart condition i.e cardiomyopath ya aina ya Infectious cardiomyopathy..ambayo inaweza tokana na infection yeyote kati ya hizi; HIV, Lyme disease, Chagas disease, viral myocarditis, and other infections can cause this condition.

Hii kitu itapelekea weaken of heart muscles, mitrial or/and aortic stenois, valves prolapses e.t.c na kupelekea mgonjwa kupata Congestive heart Failure (CHF)...ambayo itasababisha edema kwa lower ext(s), dyspenia e.t.c.......

Kuna mengi yanayoweza kusababisha ugonjwa wa kuvimba miguu kwa huyo dada!! Lakini ndugu Kang, hii ilikuwa ana attempt kukuonyesha kwamba ngoma huwezi ukai-rule out hasa tokana na umri wa huyo dada...

Kama una ubavu, soma hiyo article hapo chini ya hao Wahindi wa UCSF (University of California, San Fransisco)! Case yao imetoka kwa "neighborhood" hapo Uganda...paper imetulia, take your time isome yote kwa uzima wake...


hivinsite.ucsf.edu/InSite?page=md-ccl-ca-06]Case 6: Lower Extremity Edema and Dyspnea[/B]
Shukrani mkuu hizo ndio nondo nilizokuwa nazisubiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom