Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,804
- 69,046
Nimpe kwani nimesema ana njaa mbona mna hoja za kilafi nyie wagumu kuelewa kama kimba? Appointment........ Privacy
Nipe namba yake nimueleze
Nimpe kwani nimesema ana njaa mbona mna hoja za kilafi nyie wagumu kuelewa kama kimba? Appointment........ Privacy
Privacy ipo,,ila kwa jinsi ulivyoandika soda ilikuwa moja afu baridi,,,utani bro mwambie msela siku nyingine hasitimbe maghetoni kimya kimyaWalafi buana yaani swala zima la uchovu wangu na privacy hujaona umeona msosi tu? Watu wa uswazi mna shida sana
Nazani ungesikiliza wimbo wa mangwair "ghetto langu tu, linalowazingua madem" ungeondokana na ushuzi wa kuangaika google kutafuta tafsiri za kiitalian mafia. Wakati kila mtu humu kashaelewa ghetto ni nini. Hata kamusi huwa ina badilika tafsiri ya maneno kulingana na wakati na matumizi ya kizazi na kizazi usiwe conservative kila neno unalitafsiri enzi za babu zako.Maana ya neno "Ghetto" ni sehemu wanapo kutana vijana wa kila aina na wasio na uelekeo wa maisha,Ungekuwa unaishi nyumbani kwako usingeona mtu kuja kwako bila taarifa labda iwe emergency.
Soda siyo ishu nimeiweka tu kuongelea nilivyojiandaa kupumzika zangu watu mmeshadadia msosi mbona mna mawazo ya kimaskini? Sijasema kama msela kafata msosi au hana hela ya kula nimeongelea appointment na privacyPrivacy ipo,,ila kwa jinsi ulivyoandika soda ilikuwa moja afu baridi,,,utani bro mwambie msela siku nyingine hasitimbe maghetoni kimya kimya
Kwa imani yangu ya dini ya kiislamuWewe utakuwa wale wazamiaji wa misibani wakati wa ubwabwa.
duuh kweli jitahidi sana ubadilishe fikra zako mkuu,linapokuja suala la msosi hata kama ni adui yako mkaribishe kwanza mmalize kula ndio mengine yaendelee,kuna siri kubwa sana unapomlisha au kumkirimu mgeni..kuna watu wanaomba wapate mgeni wa kuwakirimu hivo na hawawapati,jitahidi kubadili fikra hizo utaona manufaa yakeHuwa napenda kujiachia nikiwa private sipendi mtu anakuja bila appointment mida nataka kupumzika
Hamna kitu kinakera kama hicho.. Mi ukija kwangu kibwege bwege hata huo mlango sifungui..
Wanaokupinga ni waswahili kama huyo mshikaji wako...
Unaanzaje tu kwenda kwa mtu bila kutoa taarifa!!!
Nakutoa nduki tu...
Thubutuu yaakoooo aahahahhaaa ubavu huo hunaaa, utajikuta wewee ndo umetoka nduki na taulo kiunoni umeniachia crib eehehehehheheee ukirudi unakuta mazagazaga kibao na mie nshasepa.....
Vurugu tuu za Kasinde