uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,318
- 2,092
Acha uchoyo, masela huwa tunafanyaga hivi kama kuna uwezekano wakuongezea tunaongezea tunakipiga kama hakuna uwezekano tunakipiga kilichopo tunafanya mengine
Na kasoda ka kwenye frijiHapo kinachokupa shida ni huo msosi..we weka chakula mezani mle hata kama ni kidogo acha uchoyo
Iyo soda ya baridi ndio inaleta shida hapoMpatie mgeni soda wewe kula msosi kibabe
Tatizo watu kama nyie mkiona mada za msosi mnawaza umaskini nyie ndo mmezoea kudandia misosi kwa jiraniBado sijakosea.
Dada zangu niliwaambia usiolewe na mwanaume Masikini. Mwanaume masikini ni maiti inayotembea niliwahi kusoma mahala.
Sasa ningekuwa nimezoea hayo mambo ningelalamika nini? Nimekuwambia sijazoea mtu kuja kwangu bila taarifa sometimes unanikuta najiandaa zangu kulala niamke mapema kwenye mishe zangu wewe ndo kwanza umekuja kupiga storyInaonekana ilo jambo sio geni kwake/kwenu. Sema tu this time amekukuta off mood.
Hebu elewa ishu siyo msosi nimejiandaa zangu kupumzika unakurupuka hodi na una simu unakuja tu bila appointmentAcha uchoyo, masela huwa tunafanyaga hivi kama kuna uwezekano wakuongezea tunaongezea tunakipiga kama hakuna uwezekano tunakipiga kilichopo tunafanya mengine
Yaani ujinyime uhuru wako kwa kumfurahisha mtu mwingine? Kawasaidie watu wote basi wenye matatizo ya akili na msongo wa mawazo duniani.Sometimes inabidi ujitolee tu kwa mshikaji. Namaanisha hata kama hauma mood ya story na mtu kwa wakati huo, basi unaitengeneza mood na mtapiga story, then ataondoka basi.
Jua hata wewe kuna siku unampigia mshikaji kwamba unaenda getoni kwake na yeye anaweza kuwa hana mood vile vile ila anakuambia njoo tu, anapiga story na wewe, unaondoka anatulia.
Wewe unamchana msela kuwa hutaki awepo kwako bila appointment, huo ushkaji utaendelea kuwepo kwa akili yako? Si ndo utasemwa mji mzimaBora kumchana kishkaji, kuliko kuleta hoja huku. Wanaume tunayamaliza mambo kama haya kwa akili na bila kutengeneza chuki na washkaji.