Aiseeh! Washkaji pigeni simu kabla hamjaja maghettoni

Ishu siyo msosi kwanza yeye mwenyewe anaonekana ametoka kula, tatizo ni kwamba nahitaji privacy alafu mwana kaja tu bila taarifa alafu haondoki
Introverty traits,mwenyew napenda sana kua prvte sanaa nkiwa geto kwangu,ila kama ni ishu ya selfsh hyo acha mkuu
 
Sure kuna wakat mtu unapenda kua peke yako hata kampan unaona wanazingua2 ....masela wengi sio wastaarabu kabisa ...Mara miguu kwenye kochi n ni michafu ...
Dah sema ukiwachanaga wanaona ww mkoloni n kukausha2 instagram,
 
Mimi natokaga nnje naenda kwenye main switch nazima tap,then narudi ndani kimya kama sielewi

nikiingia namuuliza vipi mbona umezima TV atajibu hapana sijazima naona tanesco wamefanya yao

najitia kulaumu kiuongo na kweli,then namwambia daaah humu ndani joto kinoma (hata kama kuna mvua mi joto lazima lije tu) so ntamwambia twenzetu mana nlikua nataka kutoka tukitoka,naenda kumuacha mbele mbee kule.

nakata kona moja mbili tatu,nimetokea home kwangu naenda kwenye main switch nawasha then "kimyaaa"
 
Pivacy usifungue mlango,agonge akichoka atambae unakula bati tu.zamani pale mi na ma mwenye nyumba wangu baada kuchoka hodihodi nikamkabidhi funguo na kufuli.
Nikizama gheto anatia kufuli mda kuniamsha sa saba akileta lunch baas.
Hahaaaa siku utaungulia ndani humo
 
Hapo navuta picha jinsi ulivyokuwa umevuta mdomo. Hahahahahaaa Ila sometime masala wanazengua bana.
 
CONTROLA, Ile unawasha tu paaa... Unamkuta msela kajikunyata kwenye kochi utafanyaje
naweka channel ya kichina,na ntajifanya naelewa na nafatiliaga hicho kipindi

chaji ntai block kwa kuhomeka simu yangu,socket ingine nachomeka rice cooker

socket ingine nachomeka zile dawa za mmbu, kiufupi hamna socket ntayoiacha wazi (asije pata pa kuchaji simu)

sina story niko busy naangalia documentary la kichina,nione ana ujasiri wa kuendelea kukomaa.
 
NAKAZIA, UKITAKA KUJA GETO TOA TAARIFA USIJE TU KAMA NYUMBU, LABDA KAMA KUNA ISHU YA DHARURA SANA NA NI YA HARAKA KIASI KWAMBA IMEKUA NGUMU HATA KUNIJULISHA. TOA TAARIFA USIJE KAMA NYUMBU ANAENDA MTONI KUNYWA MAJI.
 
Huu ushkaji wa kufuatana home siutaki kabisa, tuishie bar au kwenye shughuli zinazotufanya tuwe washkaji kama kazi, party n.k same way kwangu sina tabia kabisa ya kwenda kwa mtu kama hamna shughuli maalumu
 
Back
Top Bottom