Aiseeeee Crashwise Saint Ivuga na PrN na Co.

Tofauti yetu sisi Wana Yanga na nyinyi wana Simba(to mention here few Masuke,Crashwise na PrN) ni kuwa sisi hatumezi kila kinachoongelewa na Viongozi wetu,Nchunga alitudanganyaa ikafika kipindi tulichoka tukam'chenjia,akaja Mzee Akilimali na hekaya zake za ki'Abunuasi ooh nina Mill 750 wenye akili zetu tukamtaka aache kutapika ovyo kwenye media mdogomdogo akawa ananyoosha maelezo,nyinyi sasa sijui mmerogwa kila siku mnadanganywa badala ya kuhoji kudanganywa huko mnahamishia hasira sijui mtoto wa Kigogo,sijui fedha za EPA...hv Bin Kleb ambaye Rage alimfedhehesha kuwa ni mtoto mdogo sana,haweze kushindana naye kwenye fitina za kisoka leo hii amekuwa Mtoto wa Kigogo?
Inakuwaje mnaambiwa Twite amesajiliwa,hamajamuona mkaambiwa atakuwepo kwenye mkutano mkuu... asiwepo,angekuwepo kwenye Simba day...asiwepo badala yake mkaonyeshwa jezi tupu na bado mka'relax...hata kuwaghasi hao kina Rage wenu hakuna? angalia wachezaji waliosajiliwa kiukweli mfano Kavumbagu wa Yanga wanavyo'report mapema,nyie hamku'note tatizo kwenye issue ya Mbuyi Twite...?
Haya sasa linakuja suala la Okwi,kuweni makini jamani nyie ni ndugu zangu hapa JF..kama mmegundua Viongozi wenu wanajikanyaga sana kwenye issue ya Okwi,pamoja na kuwa bado ana mkataba lkn hakuna maelezo yaliyonyooka katika issue yake, yakija kutokea ya kutokea mtaanza ooh mtoto wa Kigogo,ooh fedha za EPA..mshukuru MUNGU Yanga imetimiza wachezaji wa nje wa'5 lkn kwa jinsi Viongozi wenu walivyo Wazembe Msiba wa Okwi lazima unge'ring tena ndani ya siku hizi zilizosalia

Wewe nawe ufahamu wako mdogo unatujazia server tu hapa.
 
Back
Top Bottom