Wakati Russia atakapotia neno la kulinda raia wa Gaza, Vita itakwisha

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Kwa ilipofikia inahitajika Kiranja wa pili tu kutia neno na mzani ukae sawa vita iishe.

Israel na kichaa chake chote kinachompa Guard mpaka sasa ni Kiranja wa kwanza.

As for now kuna mataifa yameanza kuweka Red line ya kuwa wakiingia Gaza kwa miguu Kinawaka. Iran backers siku zote ni Russia, Pyongyang and China.

In the end Rais wa Palestine akiomba msaada wa kulindiwa Raia wake kutokea west, na Russia and co with technology akarespond hii vita itakwisha.

Iran si kwamba hana wa kumsaidia ama hana backers anao na yeye anafanywa kama speaker ya hao backees, akiwashiana Israel na US akatishia kuintervene, Russia naye atatishia kuintervene au waachwe zipigwe kavu kama kule Sysria. Hii vita itaisha hapohapo.

Kwa nini Russia haingilii mpaka sasa?
1. Wana mahusiano mazuri na Israel.
2. Hii vita ina maslah kwake kwenye vita ya Ukraine.

Anyway vita siyo poa kabisa.
 
Russia naye atatishia kuintervene au waachwe zipigwe kavu kama kule Sysria. Hii vita itaisha hapohapo.
Kuwa mpole,mwaka huu hachomoki.
Screenshot_20231015-235344.png
 
Mnachekesha sana, yaani kwa hiyo mumekaa mnasubiri kafir Russia awaokoe.
Nyie majuha kweli, miarabu kujipiga kifua utadhani kuna chochote.
 
Kwa nini Russia haingilii mpaka sasa?
1. Wana mahusiano mazuri na Israel.
2. Hii vita ina maslah kwake kwenye vita ya Ukraine.
Jibu unalo hapo, hakuna neno litakalotolewa zaidi ya kuwaomba waruhusu maji, umeme na chakula kiende Gaza
 
Yaani Israel amuogope Russia? wakati yupo in danger? and Mateka 199 hawajarudi from magaidi ISIS Hamas aka Hamasa
 
Kwa ilipofikia inahitajika Kiranja wa pili tu kutia neno na mzani ukae sawa vita iishe.

Israel na kichaa chake chote kinachompa Guard mpaka sasa ni Kiranja wa kwanza.

As for now kuna mataifa yameanza kuweka Red line ya kuwa wakiingia Gaza kwa miguu Kinawaka. Iran backers siku zote ni Russia, Pyongyang and China.

In the end Rais wa Palestine akiomba msaada wa kulindiwa Raia wake kutokea west, na Russia and co with technology akarespond hii vita itakwisha.

Iran si kwamba hana wa kumsaidia ama hana backers anao na yeye anafanywa kama speaker ya hao backees, akiwashiana Israel na US akatishia kuintervene, Russia naye atatishia kuintervene au waachwe zipigwe kavu kama kule Sysria. Hii vita itaisha hapohapo.

Kwa nini Russia haingilii mpaka sasa?
1. Wana mahusiano mazuri na Israel.
2. Hii vita ina maslah kwake kwenye vita ya Ukraine.

Anyway vita siyo poa kabisa.
Hakuna nchi katika dunia hii inayoweza kumzuia Israeli kufanya anachotaka. Uwezo wake wa kivita ni mkubwa na pili ni nchi ambayo asili yake ni vita. Tatu uwezo wake wa kufikiri vitani (military intelligence) ni mkubwa na muda mwingine haufikiri kwa akili hizi za shuleni na hata hekima yoyote unayo ijua.
 
Israel itafanya kile kitakachoipendezea tu na hakuna nchi duniani inayoweza kuifanya chochote na kama yupo ebu ijaribu kuifuta kwenye ramani ya dunia ione kama haitafutika yenyewe.
 
Mnachekesha sana, yaani kwa hiyo mumekaa mnasubiri kafir Russia awaokoe.
Nyie majuha kweli, miarabu kujipiga kifua utadhani kuna chochote.
Huyu mk254 akili yake aliicha chooni yaani kila siku ni kupost upuuzi,kichwa chake kimejaa matope,nilipumbafu kupita wapumbavu,jinga jinga fulani ambalo halina akili kabsa, mtoto kama haya ya kugeuzwa chakula cha mambo,linanikera sana,waliblock hili lijinga

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Huyo no manusura wa shakahola
 
Hakuna nchi katika dunia hii inayoweza kumzuia Israeli kufanya anachotaka. Uwezo wake wa kivita ni mkubwa na pili ni nchi ambayo asili yake ni vita. Tatu uwezo wake wa kufikiri vitani (military intelligence) ni mkubwa na muda mwingine haufikiri kwa akili hizi za shuleni na hata hekima yoyote unayo ijua.
Bado unaamini hivyo kama hamasi wangekuwa hata 3% ya silaha za idf mbona wangekuwa hoi .
 
Back
Top Bottom