Aiseeeee Crashwise Saint Ivuga na PrN na Co. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aiseeeee Crashwise Saint Ivuga na PrN na Co.

Discussion in 'Sports' started by ndetichia, Aug 11, 2012.

 1. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Hii ndo familia ya Marehemu mafisango ilipofikia..
   

  Attached Files:

 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  aibu kweli...
   
 3. m

  matambo JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  jadili ya kwenu Azam ambapo kumbe hali ya uchumi ndio imesababisha john stewart hall kuondoka, maana mmepunguza mishahara ya wachezaji na pia wengine mumewatoa kupunguza gharama, hayo ndiyo maneno ya stewart hall akihojiwa na clouds siku ya kuvunja mkataba, akadai klabu itasajili wachezaji kupitia timu B tu, sasa nyie mbali ya odhiambo 'blackberry' mumemsajili nani?

  mambo ya Simba achana nayo hayakuhusu
   
 4. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ndo tabu ya watu wa Simba,hata siku 1 hawataki ku'accept matatizo ya viongozi wao na Jamaa(Viongozi) they take advantage ya u'zuzu huu.
  Kweli kwa hali hii mtaachwa kutafunwa na laana?
   
 5. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mi kama shabiki hii ya rambirambi ni soo na bado ya mbuyi facebook sijui twitter
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hilo la mshiko ni kawaida tu mboni tunajali vipaji nyie endeleeni kupigizana kelele na wachezaji wenu. na mpeleka chambichambi za mafisango bwana sio fresh..

  Forza Azam FC
   
 7. M

  Masuke JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Kwani Mafisango alikuwa na watoto wangapi? maana tunavyojua wengine ni kwamba alikuwa na watoto watatu na kila mmoja na mama yake na aliyekuwa anaishi hapa Tanzania ni mmoja sasa hao watano wametoka wapi?
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwanzani mimi nawaza uhuni tulio fanyiwa na familia ya kikwete kwa beki tuliyo kuwa tumemsajili lakini yote yana mwisho..na pesa zao za EPA.
   
 9. M

  Masuke JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Nakwambia huu uhuni hautapita bure.
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  vipi ya chombo..tutatafuta beki mwingine na bado yanga tukikutana nae lazima tumtandike..
   
 11. m

  matambo JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  sisi ndio simba, subiri ligi ianze, hawa jamaa wanatumia pesa kutuharibu kisaikolojia lakini naamini hawataweza, ya mafisango viongozi wanajua kwanini hawajapeleka hadi sasa
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wanakuambiaje TFF ni Tanzania Fitna Federation so bora uwe mpole ila ngoja tuone moto wa kampuni utakuwaje..
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mi bado sijaelewa kwa nini rambirambi zinamahusiano gani na kodi ya nyumba maana huko FB ndio stori ya nyumba pamoja na ya mbuyi Facebook(twitter)
   
 14. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ya Mafisango yana mwisho, na familia yake ita-settle tu bado ni mapema mno na wala rambirambi aina tatizo kila kitu kiko organised.

  Ngoja kwanza tutafute dawa ya kuimaliza Yanga naona kiherehere kinawazidi, walianza na Said Maulid,Chuji, Nurdin, Kaseja japo aliwashinda, Gumbo, Yondan na sasa Twite.

  Dawa yao inachemka tu.
   
 15. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nanyie msimu uliopita mpaka mnaangukia nafasi ya tatu, mlikuwa na laana ya nani???? au mlikula rambirambi ya nani???? naona sasa mnakosa cha kusema mnadandia hoja zisizo na maana, kuwa makini na usajiri wenu wa wizi vinginevyo deni la bao 5 bila majibu bado lina waandama.(5-0)
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Duh..Simba!
   
 17. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bora ya Azam wametumia njia mbadala ya kupunguza mishahara na sio kula pesa ya rambi rambi.
   
 18. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Okay mkuu na sisi mwaka huu tutatenga bajeti ya kununua penalt japo 3 ndani ya dakika 90.
   
 19. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145

  Hapo ndo tatizo lilipo,badala ya kuangalia ndani ya nyumba yenu kuna mapungufu gani mnasikiliza ya kwenye magazeti ya udaku....kwaakili ya kawaida kabisa kwa jinsi Mbuyi alivyocheza kwa kiwango kizuri katika Kagame mlitegemea hata kama alikuwa amemaliza mkataba wake na APR basi mngempata kiulaini kama mlivyofanya?
  Sasa kwa taarifa yenu uzembe wa Mwenyekiti wenu kwa mara nyingine ndo umewagharimu,MahaRage issue za usajili haziwezi angewapa Vijana kazi leo hii Mbuyi ingekuwa ni uhakika anakipiga Msimbazi,sasa yeye tamaaX2 zake za kutafuta maslahi binafsi zikamfanya atoroke vikao vya Bunge na kwenda kuweka Kambi Rwanda kwaajili ya kum'signisha mchezaji,hivi uliona ni Mwenyekiti wa team gani (wa kawaida kabisa,acha yeye mwenye majukumu hadi ya Taifa) anaacha shughuli zake za msingi kabisa na kwenda kufukuzia signature ya mchezaji? hapa Wana'Simba hamuoni kama kuna tatizo?
  Alichobugi Rage ni kuto'dig out umiliki halali wa mchezaji huyo,yeye amekwenda Rwanda kufanya mazungumzo na Mbuyi na APR ambayo tayari ilishamaliza mkataba naye,sasa team ilishamaliza mkataba naye wewe unazungumza nayo ya nini?,unategemea utapa ushiikiano gani wenye manufaa ikiwa huna chochote utakacholipa kwao?,kwanini msitake maelezo kwa Rage ya kwanini licha ya gharama zote alizoingia kwenda na kukaa Rwanda kwa zoezi hilo 1 alishindwa kujua umiliki halali wa Mchezaji huyo?
   
 20. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Tofauti yetu sisi Wana Yanga na nyinyi wana Simba(to mention here few Masuke,Crashwise na PrN) ni kuwa sisi hatumezi kila kinachoongelewa na Viongozi wetu,Nchunga alitudanganyaa ikafika kipindi tulichoka tukam'chenjia,akaja Mzee Akilimali na hekaya zake za ki'Abunuasi ooh nina Mill 750 wenye akili zetu tukamtaka aache kutapika ovyo kwenye media mdogomdogo akawa ananyoosha maelezo,nyinyi sasa sijui mmerogwa kila siku mnadanganywa badala ya kuhoji kudanganywa huko mnahamishia hasira sijui mtoto wa Kigogo,sijui fedha za EPA...hv Bin Kleb ambaye Rage alimfedhehesha kuwa ni mtoto mdogo sana,haweze kushindana naye kwenye fitina za kisoka leo hii amekuwa Mtoto wa Kigogo?
  Inakuwaje mnaambiwa Twite amesajiliwa,hamajamuona mkaambiwa atakuwepo kwenye mkutano mkuu... asiwepo,angekuwepo kwenye Simba day...asiwepo badala yake mkaonyeshwa jezi tupu na bado mka'relax...hata kuwaghasi hao kina Rage wenu hakuna? angalia wachezaji waliosajiliwa kiukweli mfano Kavumbagu wa Yanga wanavyo'report mapema,nyie hamku'note tatizo kwenye issue ya Mbuyi Twite...?
  Haya sasa linakuja suala la Okwi,kuweni makini jamani nyie ni ndugu zangu hapa JF..kama mmegundua Viongozi wenu wanajikanyaga sana kwenye issue ya Okwi,pamoja na kuwa bado ana mkataba lkn hakuna maelezo yaliyonyooka katika issue yake, yakija kutokea ya kutokea mtaanza ooh mtoto wa Kigogo,ooh fedha za EPA..mshukuru MUNGU Yanga imetimiza wachezaji wa nje wa'5 lkn kwa jinsi Viongozi wenu walivyo Wazembe Msiba wa Okwi lazima unge'ring tena ndani ya siku hizi zilizosalia
   
Loading...