Mussa Nzugilwa
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 2,391
- 4,960
Umewahi kuwa na mwanamke mwenye ma drama mkuu? Mwanamke anaeweza kutaka kunywa sumu halafu ukimzuia na kumuuliza kwa nini ulitaka kujiua? Anakujibu, nilitaka kujua kama unanipenda!Daaah watu mna roho ngumu asee
Komenti ya dunia hii apaHuwezi kumzuia mtu kufa, hawa super woman mda wao wa kubembelezwa umekwisha ngoja siku zisonge tuone Nani mwanaume
Mkuu nadharia zako zinaweza kuwankweli au la!Mpaka alifikia kujitoa uhai mbele ya mme wake basi inaonekana kabisa kulikuwa na mgogoro mkubwa wa mda mrefu kati yao
Hatuwezi kujua lakini inaonekana jamaa alikuwa bully sana na huenda ana kimada ambapo mke alikuwa hana nguvu kwa jamaa na inaonekana alikuwa anampiga sana
Acha tuwaze ya kwetu ila hapo inaonyesha kabisa mwanaume ndio alikuwa kichocheo cha mke wake kujiua na alijua anajiuwa na akarekodi kwa roho yake mbaya
Mfanyakazi wa ndani anajua maisha yao atatoa majibu pia watoto wanajua pia
Watoto ndio wa kuwahurumia zaidi kwani kuona mama anakufa huku baba akirekodi ni ngumu sana kwa maisha yao
Basi hujasoma bado..Hiyo nilisha isoma tangu jana mkuu, na hapo yamejaa maoni na mitazamo ya watu binafsi.
Lakini swali langu linabaki palepale kwamba..... huyo DJ whatever akamatwe kwa kosa gani??
Mpenzi wako alikuwa na shida kwenye ubongo jmnMkuu nadharia zako zinaweza kuwankweli au la!
Mchumba wangu alitaka kunywa sumu miezi minne kabla ya ndoa yetu kisa nimemwambia gauni lake la harusi tutakodi badala ya kushona.
Sasa hebu kaa kwenye nafasi yake wewe unaweza kutaka kufa kwa sababu hio? Kuna wanawake ni wajinga kuliko ujinga wenyewe
Hawa viumbe wana hisia kali mno kiasi ambacho wanakuwa tofauti kabisa na sisiMkuu nadharia zako zinaweza kuwankweli au la!
Mchumba wangu alitaka kunywa sumu miezi minne kabla ya ndoa yetu kisa nimemwambia gauni lake la harusi tutakodi badala ya kushona.
Sasa hebu kaa kwenye nafasi yake wewe unaweza kutaka kufa kwa sababu hio? Kuna wanawake ni wajinga kuliko ujinga wenyewe
Nisidieni nyie. Kwakweli nilipiga chini mazima sikujali hata kudai mahari sikutaka. Mpumbavu pro max plus yuleMpenzi wako alikuwa na shida kwenye ubongo jmn
Kuua, pamoja na kujiua mwenyewe, ni kosa la jinai. Ukipanga kujiua halafu ukanusurika utashitakiwa mahakamani. Kwa hiyo usiulize: mtu kataka kufa mwenyewe unamzuia wa nini?Mtu kataka kufa mwenyewe unamzuia wa nini?
Halafu mkumbuke hapa duniani tunapita, huyo kaandikiwa kifo cha namna hiyo
Kuhusu ku-record, sijui kama kweli mme alifanya hivyo. Inawezekana kulikuwa na CCTV inayo-record saa 24 kunasa wevi au hujuma zinazofanywa na dada wa kazi. Kwani kuna mtu mwingine aliyem-record aki-record?Nimeona hiyo video jamaa alikuwa mtu mmbaya huwezi mwangalia mtu anakunywa sumu anaanza kupoteza nguvu mpaka anaanguka akitoa povu ndo unamwita msichana alete maziwa tena humpi wewe unamwambia msichana wa kazi mpe we ukiendelea kurecord kila kitu.
Labda kwasababu mwanamke alitumia mbinu ya kunywa sumu mana itamuuwa mwenyewe ndo mana jamaa akapata muda wa kurecord.
Ila kama mwanamke angefunga milango yote akamwaga petrol ndani alafu awe kwenye harakati za kutafuta kiwakishio sijui kama huyo jamaa angekumbuka kama simu inayo uwezo wa kurecord.
Yote ya yote jamaa anakesi ya kujibu...🙌🙌🙌
Wewe video utakua hujaiona ni jamaa ndio kurekodi tena na simu ya mkononi kifupi jamaa ana roho ngumu sana hata kama mke hampendi ila sio vileKuhusu ku-record, sijui kama kweli mme alifanya hivyo. Inawezekana kulikuwa na CCTV inayo-record saa 24 kunasa wevi au hujuma zinazofanywa na dada wa kazi. Kwani kuna mtu mwingine aliyem-record aki-record?
Mkuu video ninayo sio CCTV ni camera ya simu na mume ndo alikuwa ameshika mana ukiangalia mwanamke alianguka karibu na koch jamaa alilokuwa amelala naweza kukutumia ukajiridhisha kwamba jamaa alikuwa na ujasiri wa ajabu kabisa.Kuhusu ku-record, sijui kama kweli mme alifanya hivyo. Inawezekana kulikuwa na CCTV inayo-record saa 24 kunasa wevi au hujuma zinazofanywa na dada wa kazi. Kwani kuna mtu mwingine aliyem-record aki-record?
Mm nampongeza jamaa kwa kitendo chake kwa sababu anasema alishamfumania mkewe mara mbili akisex na marafiki zake wawili kwa wakati tofauti tena akiona sio kwa kuambiwa akitaka kumuacha mwanamke akawa anatishia kua akiachwa atajiua so acha afe tu na umalaya wakeNimeona hiyo video jamaa alikuwa mtu mmbaya huwezi mwangalia mtu anakunywa sumu anaanza kupoteza nguvu mpaka anaanguka akitoa povu ndo unamwita msichana alete maziwa tena humpi wewe unamwambia msichana wa kazi mpe we ukiendelea kurecord kila kitu.
Labda kwasababu mwanamke alitumia mbinu ya kunywa sumu mana itamuuwa mwenyewe ndo mana jamaa akapata muda wa kurecord.
Ila kama mwanamke angefunga milango yote akamwaga petrol ndani alafu awe kwenye harakati za kutafuta kiwakishio sijui kama huyo jamaa angekumbuka kama simu inayo uwezo wa kurecord.
Yote ya yote jamaa anakesi ya kujibu...
Ndiyoo yaani super woman sasahivi akisumbua ni kununua sumu tu na kumtengea kwenye kabati kabisa akijiskia akoroge anywe sisi tunarekodi video tunatupia insta na mitandao mingine.Haya ni matoke ya zile kampeni za ma super women. Mara mnaambiwa muwe na maamuzi magumu, sasa mwenzenu kafaulu vizuri, kafanya maamuzi magumu. Mmekua na drama drama za kipuuzi, watu wanawachoka. Hata yule aliekua anampa maziwa anaonekana hana hata mshtuko. Maana yake huyo mwanamke alikua mtu wa madrama hadi walimchoka na kuona kawaida yake.
Sasa hivi hatuwapigi hata kibao, maana mnatetewa sana. Mtakua mnajidhuru wenyewe tu huku sisi tukishudia na kurekodi kama DJ wetu pale Kenya. Kuna wanawake wapuuzi watakuja na kusema yule mwamba ana roho mbaya, go to hell.
Upumbavu pro max plus
Kuna jamaa kaposti Uzi amerudi nyumbani baada ya miezi SITA ya kazi anakuta wife ana mimba kama ya miezi mitatu.Na jamaa anasema sababu ya mwanamke kujiua ni baada ya mume kumfumania mkewe akitombwa na marafiki zake wawili mume akaamua kumuacha mkewe lkn mkewe akawa hataki anasema akiachwa atajiua sasa mwanamke km huyo ni bora alivyojiua tu nyoko zake
Kama ni hivyo, basi huyo jamaa ni wa kushangaa sana na inabidi achukuliwe hatua sipasazo.Mkuu video ninayo sio CCTV ni camera ya simu na mume ndo alikuwa ameshika mana ukiangalia mwanamke alianguka karibu na koch jamaa alilokuwa amelala naweza kukutumia ukajiridhisha kwamba jamaa alikuwa na ujasiri wa ajabu kabisa.
Kama ni hivyo basi sijui ulimwengu unaelekea wapi kuwa na watu wa dizaini hiyo.Wewe video utakua hujaiona ni jamaa ndio kurekodi tena na simu ya mkononi kifupi jamaa ana roho ngumu sana hata kama mke hampendi ila sio vile