Punguza vitishoo Kaka!!!huyuu jamaa amenisikitisha ata kama humpendi sio kufanya vilee. jamaa anaroho ngumu. kuna kitu watu hawaelewi ila hiyoo damu itamtesa mpaka anaingia kaburini. na huyoo dogo ni mwiba kake.
alafu unakuta yeye ndio chanzo kama ameweza kumvideo akiwa anakata roho. ata video za ngono za wanawake wengine alikuwa anachukua na kuziacha kwenye simu. fck him he derve punshmnt.
Daaah watu mna roho ngumu aseeMtu kataka kufa mwenyewe unamzuia wa nini?
Halafu mkumbuke hapa duniani tunapita, huyo kaandikiwa kifo cha namna hiyo
Kwa kweli kwa hili wooi na mimi naingia chamaniAcha watu wakatae ndoa. Binadmu wa sasa utu umeisha kabisa
Li psychopath hilo no empathy lingeenda ku record kwa nje nyumba inaunguaIla kama mwanamke angefunga milango yote akamwaga petrol ndani alafu awe kwenye harakati za kutafuta kiwakishio sijui kama huyo jamaa angekumbuka kama simu inayo uwezo wa kurecord.
Hakutakuwa na hiyo nafasi mana mwanamke amelock milango sasa yupo katika kuwasha moto mkuu hapo lazima utamshika kumzuia kwanza...Li psychopath hilo no empathy lingeenda ku record kwa nje nyumba inaungua
basi ulinde usikubali kuwa shaidi bila ya kutoa nusraHajaheshimu uhai wake
Kwamba afunge milango aue nyumba nzima?Hakutakuwa na hiyo nafasi mana mwanamke amelock milango sasa yupo katika kuwasha moto mkuu hapo lazima utamshika kumzuia kwanza...
Unavumilia mateso ili ugundue nini?Kuna wanaume wanapitia matesoo..wanavumilia tu.
.
Ndio maana jamaa kaacha huyo anywe sumu.Unavumilia mateso ili ugundue nini?
Kuna taji la mtesekaji bora??
Leo ndio umesema km mwanaume keep it up it's time for masculine now feminism must, Ila si-support aalichofanya DJ Brownskin kupelekea kifo cha mkewe kiasi hicho sio ubinadamuHuwezi kumzuia mtu kufa, hawa super woman mda wao wa kubembelezwa umekwisha ngoja siku zisonge tuone Nani mwanaume
Lakini sio kurecord mbaya hapa ni kurecord..Kwamba afunge milango aue nyumba nzima?
yea the psychopath would have run to save his own life not hers
Una roho ya uuajiNdio maana jamaa kaacha huyo anywe sumu.
So angemuangalia bila ku record sio mbayaLakini sio kurecord mbaya hapa ni kurecord..