Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,449
- 25,168
Umeshajibiwa huko juukila kitu kina mwanzo, andika tu hata kimanyema sisi tutasoma
Umeshajibiwa huko juukila kitu kina mwanzo, andika tu hata kimanyema sisi tutasoma
Sina cha kuongezea mkuuNaona wazinzi wa jinsia ya kike walio kwenye ndoa wamepata kisingizio hapa
Maana kila mtu anasema,'ndo maana wake za watu wanatoka nje'
Utafikiri wanaume waliooa tu ndo wanakula mavyakula ya ajabu ajabu,ila waliopo nje ya ndoa ndo wanakula vyakula vya asili
Sio kila mke wa mtu anaechepuka nje ya ndoa basi hakojozwi na mumewe,wapo wanaokojozwa vizuri tu na bado wanachepuka
N.B
Ndoa na maisha ya ndoa ni ulimwengu mwingine kabisaaa
Kama hauishi ndani ya huo ulimwengu,basi elewa tu kuna vingiiiii sana hauvijui na haujawahi kukutana navyo labda kwa kuadithiwa
Kuna mazuri,kuna mabaya,kuna matamuuuuu,kuna machungu,kuna kila aina ya utofauti na ulimwengu huu mwingine
Ni wewe na nafsi yako na mwenza wako kuamua na kuchagua namna ya kuishi ndani ya huo ulimwengu
Mm kwangu juisi za asili hazikosi
Nilishapunguza matumiz ya vyakula vya viwandani,
Kwa hali ilivyo, ndio maana wake za watu wanatoka sana nje
Asante sana mkuu, Mimi hata mbegu huwa nazitafuna, ninaona matokeo chanya
sawa mda gani ulitumia hii dawa? Siku mwezi au wikiHiyo natural viagra tunaijua nyingine ni 1/2ya kaglass ka juice ya aloevera,nyingine ni water therapy fanya asubhi mpaka mchana kuelekea jioni uwe umemaliza lita 5 za maji alafu piga kazi uone matokeo..
Jaribu uje unishukuru
unapata ashki?Vipi kwa mwanamke maana mi nnapenda kweli kula tikiti, siwezi pita sokoni nikaacha kununua!
Linasaidia pia kuongeza hamu ya tendoVipi kwa mwanamke maana mi nnapenda kweli kula tikiti, siwezi pita sokoni nikaacha kununua!
Ni nini lakini?
Maana yake
Team wanaume wa kinondoniEbwanaee ,hii ni Viagra kweli ya asili, siku za karibuni niliona mziki umepungua kwa mke wangu, kutokana na kuwa bize kutafuta mkate wa kila siku, masomo, n.k nikaona kabisa kasi imepungua, basi wife akawa analalamika ,nikaona hapa kuna kusaidiwa,basi baharia nikazama jf kisiwa cha elimu, kuna Uzi uliwahi kuletwa humu miaka ya 2010 kama sikosei,
Nikafata maelezo, mahitaji ni vitu viwili tu. ,Matikiti na malimao,
Wife akatengeneza juisi ya matikiti ,akaichemsha huku anakamulia malimao, baadae akaiweka kwenye friji, kabla ya kulala nikanywa kikombe kimoja, baadae ya nusu SAA nilipiga show ambayo ni Mara mbili ya siku zote,
Wife nilimwambia hiyo dawa ni yakupunguza kitambi, sikumdokeza ni yanini, kwa kweli alifurahia show,hii ni zaidi ya vumbi la Kongo/mundende a.k.a puturu
Ninachotaka kusema achen kuhangaika na madawa ya viwandani, tumien vitu vya asili,,
Hii nimeprove mwenyewe ,nimeamini kuna dawa simple tu, ila hatuzitumii na kuziamini, tunakimbilia kemikali za viwandani.
Asanteni wana MMU, kwa atakayejaribu au alishajaribu ,leta mrejesho, tuwaridhisheni wake zetu ,raha ya ndoa kukojozana,sio kuchafuana
najaribu kuona kemia yangu potassium + acetic acid=? potassium salt (chumvi) na haidrojeni
HAYA NDIO ILIKUSAIDIA? ngoja figo zako zikapimwe tuone side effects zimekaaje
Na wanawake wanapenda kukunwa hasa sema hawasemi...akiipenda show utaona anavoongeza mahaba yaan yy ndo anakua anakumbushia gegedoMatatizo mengi yamejificha kwenye lishe,mazoezi, na Saikolojia ukiwa na mtindo bora wa maisha haya matatizo ya sexualy disfunctions utayasikia kwa wenzako.
Unipe majibu eeemabaharia ngoja tukajaribu hahaha
NJOO PMUnipe majibu eee
Mundendeee, puturuuu..ya danjeeeshow,hii ni zaidi ya vumbi la Kongo/mundende a.k.a puturu