Aisee matikiti na malimao ni viagra ya asili

Aisee matikiti na malimao ni viagra ya asili

Inadumu kwa siku ngapi bado ikiwa inafanya kazi au ni ya siku iyo tu ila inabidi siku nyingine achemshe tena unywe
Mkuu cha muhimu ,ifanye kama dozi, ili kuweka mwili wako strong, huwez kuamini Mimi nimeanza Jana na asubuhi Leo, lakin matokeo ni A+, hivo kwenye friji yangu hii juisi nimeifanya dozi, wataalamu sikuwasikia wakisema ni kwa siku ngapi, ila nakushauri igeuze mazoea tu,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zaidi ya mundende, mpulutu
 
Naona wazinzi wa jinsia ya kike walio kwenye ndoa wamepata kisingizio hapa

Maana kila mtu anasema,'ndo maana wake za watu wanatoka nje'

Utafikiri wanaume waliooa tu ndo wanakula mavyakula ya ajabu ajabu,ila waliopo nje ya ndoa ndo wanakula vyakula vya asili

Sio kila mke wa mtu anaechepuka nje ya ndoa basi hakojozwi na mumewe,wapo wanaokojozwa vizuri tu na bado wanachepuka

N.B
Ndoa na maisha ya ndoa ni ulimwengu mwingine kabisaaa
Kama hauishi ndani ya huo ulimwengu,basi elewa tu kuna vingiiiii sana hauvijui na haujawahi kukutana navyo labda kwa kuadithiwa
Kuna mazuri,kuna mabaya,kuna matamuuuuu,kuna machungu,kuna kila aina ya utofauti na ulimwengu huu mwingine
Ni wewe na nafsi yako na mwenza wako kuamua na kuchagua namna ya kuishi ndani ya huo ulimwengu
 
Write your reply... sijawahi kutumia hayo mavitu lakin show yangu noma! nakisugu mpaka kinanukia chuma. . ninoma wazee wangu
 
Ebwanaee ,hii ni Viagra kweli ya asili, siku za karibuni niliona mziki umepungua kwa mke wangu, kutokana na kuwa bize kutafuta mkate wa kila siku, masomo, n.k nikaona kabisa kasi imepungua, basi wife akawa analalamika ,nikaona hapa kuna kusaidiwa,basi baharia nikazama jf kisiwa cha elimu, kuna Uzi uliwahi kuletwa humu miaka ya 2010 kama sikosei,
Nikafata maelezo, mahitaji ni vitu viwili tu. ,Matikiti na malimao,
Wife akatengeneza juisi ya matikiti ,akaichemsha huku anakamulia malimao, baadae akaiweka kwenye friji, kabla ya kulala nikanywa kikombe kimoja, baadae ya nusu SAA nilipiga show ambayo ni Mara mbili ya siku zote,
Wife nilimwambia hiyo dawa ni yakupunguza kitambi, sikumdokeza ni yanini, kwa kweli alifurahia show,hii ni zaidi ya vumbi la Kongo/mundende a.k.a puturu
Ninachotaka kusema achen kuhangaika na madawa ya viwandani, tumien vitu vya asili,,
Hii nimeprove mwenyewe ,nimeamini kuna dawa simple tu, ila hatuzitumii na kuziamini, tunakimbilia kemikali za viwandani.
Asanteni wana MMU, kwa atakayejaribu au alishajaribu ,leta mrejesho, tuwaridhisheni wake zetu ,raha ya ndoa kukojozana,sio kuchafuana
Sasa hata kuchukua picha ya hiyo juice umeona shhhiidaa..

Wengi matomaso humu.
 
Vidole si vinaleta fungus..
Wapi na nani kasema? Kwanza hili jukwaa gani nisijeongea ya kikubwa hapa.
Mkuu kwa kifupi sehemu sensitive za mwanamke ni sehemu za nje za uke i.e mashavu,k#&%#nmbe na nyingine ndioaama hata mdau hapo juu kasema kwamba hata wasagaji wanaridhishana na hawana dushe.
Pili shida ya nguvu za kiume sio kweli kwamba ni tatizo kubwa kama tunavyoambiwa mitandaoni ila shida wengi wanawake na wanaume hatujui miili yetu shida ndio iko hapa.
Kingine tunakula vibaya,hatuna mazoezi,hatupumziki vya kutosha hasa hasa kupata usingizi wa kutosha. Hapa nielezee kidogo kama ukikosa usingizi au kuwa na limbikizo la usingizi kwa muda mrefu kama wk hivi mashine haisimami labda unywe kongo dust ambayo inakuandaa kuwa mgonjwa moyo baadae.
Kingine hali ngumu ya maisha,amini amini na kuambia kama unamsongo wa mawazo kutokana na hali ya maisha kama kukosa hela hiyo dudu haitasimama vya kutosha na mara nyingi ni kukojoa ndani ya dakika moja na kutosimama tena. Usipokuwa na hela hata mke wako hakati vizuri kiuno
 
Hahahahaaa.. kama ndiyo hivyo ulemsemo wa pesa ndiyo kila kitu una maana sana
 
Sio lazima ulimi na wala hakuna sehemu isiyogusika
Hizo sehemu kma mwanamke hawez kusema zitafute. Shida wengi haraka nyingi unapanda tu kama unataka kuendesha baiskeli warm up kwanza, na ukikaa na mwanamke muda mrefu utajua tu. Wengine masikioni pitisha ulimi huko ndani ya sikio,nje na nyuma ya sikio,
*Shingoni,
*Kichwani
*Mgongoni,
*Kiunoni,nyonya sehemu za kiuno,kwenye maungo ya mapaja na kiuno,
Kitovu kuna msichana niliwahi kuwa nae ukimpitishia ulimi kwenye kituvu anakojoa had magoli ya kesho.
*Mapajani,
*Kwenye nyayo za miguu.
Kikubwa mjue mwanamke wako pia na ww mwanaume uwe mtundu tunapiga hadi malaya wanaojiuza had wanakurudishia hela
 
Mkuu cha muhimu ,ifanye kama dozi, ili kuweka mwili wako strong, huwez kuamini Mimi nimeanza Jana na asubuhi Leo, lakin matokeo ni A+, hivo kwenye friji yangu hii juisi nimeifanya dozi, wataalamu sikuwasikia wakisema ni kwa siku ngapi, ila nakushauri igeuze mazoea tu,
Mkuu hebu tueleweshe vizuri.inamaana hio juice unaishemsha kwanza ndo unachanganya na limao au unavichemsha kwa pamoja
 
Back
Top Bottom