Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Ebwanaee, hii ni Viagra kweli ya asili. Siku za karibuni niliona mziki umepungua kwa mke wangu, kutokana na kuwa bize kutafuta mkate wa kila siku, masomo n.k., nikaona kabisa kasi imepungua. Basi wife akawa analalamika, nikaona hapa kuna kusaidiwa. Basi baharia nikazama JF kisiwa cha elimu, kuna uzi uliwahi kuletwa humu miaka ya 2010 kama sikosei.
Nikafata maelezo. Mahitaji ni vitu viwili tu: matikiti na malimao.
Wife akatengeneza juisi ya matikiti, akaichemsha huku anakamulia malimao, baadae akaiweka kwenye friji. Kabla ya kulala nikanywa kikombe kimoja, baada ya nusu saa nilipiga show ambayo ni mara mbili ya siku zote.
Wife nilimwambia hiyo dawa ni ya kupunguza kitambi, sikumdokeza ni ya nini. Kwa kweli alifurahia show. Hii ni zaidi ya vumbi la Kongo/mundende a.k.a. puturu.
Ninachotaka kusema, acheni kuhangaika na madawa ya viwandani; tumieni vitu vya asili.
Hii nimeprove mwenyewe. Nimeamini kuna dawa simple tu, ila hatuzitumii na kuziamini, tunakimbilia kemikali za viwandani.
Asanteni wana MMU. Kwa atakayejaribu au alishajaribu, leta mrejesho. Tuwaridhishe wake zetu — raha ya ndoa ni kukojozana, sio kuchafuana.