Aisee matikiti na malimao ni viagra ya asili

Sisi wanawake wala hatuhitaji nguvu kubwa kutufikisha ni rahisi sana sema wengi wenu hamjui mrahisishe wapi ndiyo maana mnakomaa na hayo maviagra
Hivi unawezaje kufurahia show na mwanaume anayewahi kumwaga? Au anayeishia raundi 1,?
 
Kama ndo ivyo hali itakuwa mbaya sana, mida ya jioni jioni huwa napita njia ya kuelekea goba mida ya jioni pale wauza chipsi wamejipanga kama wote na wateja wao wengi sana wanaume sasa huwa najiuliza kwa ulaji huu wa machipsi tutapona kweli kwa kirusi hichi cha nguvu za kiume
Mm kwangu juisi za asili hazikosi

Nilishapunguza matumiz ya vyakula vya viwandani,

Kwa hali ilivyo, ndio maana wake za watu wanatoka sana nje
 
Ebwanaee ,hii ni Viagra kweli ya asili, siku za karibuni niliona mziki umepungua kwa mke wangu, kutokana na kuwa bize kutafuta mkate wa kila siku, masomo, n.k nikaona kabisa kasi imepungua, basi wife akawa analalamika ,nikaona hapa kuna kusaidiwa,basi baharia nikazama jf kisiwa cha elimu, kuna Uzi uliwahi kuletwa humu miaka ya 2010 kama sikosei,

Nikafata maelezo, mahitaji ni vitu viwili tu. ,Matikiti na malimao,

Wife akatengeneza juisi ya matikiti ,akaichemsha huku anakamulia malimao, baadae akaiweka kwenye friji, kabla ya kulala nikanywa kikombe kimoja, baadae ya nusu SAA nilipiga show ambayo ni Mara mbili ya siku zote,

Wife nilimwambia hiyo dawa ni yakupunguza kitambi, sikumdokeza ni yanini, kwa kweli alifurahia show,hii ni zaidi ya vumbi la Kongo/mundende a.k.a puturu

Ninachotaka kusema achen kuhangaika na madawa ya viwandani, tumien vitu vya asili,,

Hii nimeprove mwenyewe ,nimeamini kuna dawa simple tu, ila hatuzitumii na kuziamini, tunakimbilia kemikali za viwandani.

Asanteni wana MMU, kwa atakayejaribu au alishajaribu ,leta mrejesho, tuwaridhisheni wake zetu ,raha ya ndoa kukojozana,sio kuchafuana
Sumu iyo acha kutuingiza chaka wenzio
 
Sisi wanawake wala hatuhitaji nguvu kubwa kutufikisha ni rahisi sana sema wengi wenu hamjui mrahisishe wapi ndiyo maana mnakomaa na hayo maviagra
Ninong'oneze chemba basi mamii, mie hayo madawa hapana kwa kweli
 
Inategemea na maandalizi mkuu kumbuka kumfikisha mwanamke kunako hata usipomuingiza uume ukiwa mjanja unamfikisha
Nakubaliana na wewe, ndio maana hata wasagaji hawana uume lkn wanawafikisha wenzao kileleni,

Hoja yangu IPO hasa kwa wanaume, haiwezekan mtu show unaenda dk 5 umechoka, au uume unakuwa unasinyaa ovyo,

Lazima kuna kuwa na tatizo, hata kumfikisha kilelen mwenz wako itakuwa ngumu
 
Nimekupata mkuu,

Mimi natumia tikiti na limao kama lishe tu,ila naona shughuli ni kama nimetumia Viagra
Yes hata mie natumia tikiti zuri sana lina arginine inasaidia mambo yetu. Potasium inasaidia presha na tikiti lina msaada kwa ngozi yenye afya.
 
Nakubaliana na wewe, ndio maana hata wasagaji hawana uume lkn wanawafikisha wenzao kileleni,

Hoja yangu IPO hasa kwa wanaume, haiwezekan mtu show unaenda dk 5 umechoka, au uume unakuwa unasinyaa ovyo,

Lazima kuna kuwa na tatizo, hata kumfikisha kilelen mwenz wako itakuwa ngumu
Hahahaha haya
 
Yes hata mie natumia tikiti zuri sana lina arginine inasaidia mambo yetu. Potasium inasaidia presha na tikiti lina msaada kwa ngozi yenye afya.
Asante sana mkuu, Mimi hata mbegu huwa nazitafuna, ninaona matokeo chanya
 
Hatimaye malimao na matikiti kuanza kuadimika jijini dar
 
Heri yako wewe uko muwazi, ila majority hamko hivo, tena wengine hata wao wenyewe hawaelewi miili yao, teh!
Hilo la kutoelewa miili yao nakubali 100% ....Sijui shida ipo wapi
 
Ebwanaee ,hii ni Viagra kweli ya asili, siku za karibuni niliona mziki umepungua kwa mke wangu, kutokana na kuwa bize kutafuta mkate wa kila siku, masomo, n.k nikaona kabisa kasi imepungua, basi wife akawa analalamika ,nikaona hapa kuna kusaidiwa,basi baharia nikazama jf kisiwa cha elimu, kuna Uzi uliwahi kuletwa humu miaka ya 2010 kama sikosei,

Nikafata maelezo, mahitaji ni vitu viwili tu. ,Matikiti na malimao,

Wife akatengeneza juisi ya matikiti ,akaichemsha huku anakamulia malimao, baadae akaiweka kwenye friji, kabla ya kulala nikanywa kikombe kimoja, baadae ya nusu SAA nilipiga show ambayo ni Mara mbili ya siku zote,

Wife nilimwambia hiyo dawa ni yakupunguza kitambi, sikumdokeza ni yanini, kwa kweli alifurahia show,hii ni zaidi ya vumbi la Kongo/mundende a.k.a puturu

Ninachotaka kusema achen kuhangaika na madawa ya viwandani, tumien vitu vya asili,,

Hii nimeprove mwenyewe ,nimeamini kuna dawa simple tu, ila hatuzitumii na kuziamini, tunakimbilia kemikali za viwandani.

Asanteni wana MMU, kwa atakayejaribu au alishajaribu ,leta mrejesho, tuwaridhisheni wake zetu ,raha ya ndoa kukojozana,sio kuchafuana
Inadumu kwa siku ngapi bado ikiwa inafanya kazi au ni ya siku iyo tu ila inabidi siku nyingine achemshe tena unywe
 
Back
Top Bottom