Aisee matikiti na malimao ni viagra ya asili

Aisee matikiti na malimao ni viagra ya asili

Kabisa mkuu yani huwa nafikiria kila siku huwa sielewi wavulana wa siku hizi sijui wana matatizo gani
Mi nabakiga kucheka tu, yaan wangejua saikoloji ya wanawake wala wasingekuwa wanajichosha na madawa hivo
 
Matikiti na limau inasaidia ila haifikii viagra wataalamu wanasema ukila tikiti moja ni sawa na kidonge cha viagra kile cha 50mg utaona ugumu wa kumaliza tikiti moja ili upate matokeo ya viagra lakin in long rung inaisaidia sana.
 
Nimekupata mkuu,

Mimi natumia tikiti na limao kama lishe tu,ila naona shughuli ni kama nimetumia Viagra
 
Kama ndo ivyo hali itakuwa mbaya sana, mida ya jioni jioni huwa napita njia ya kuelekea goba mida ya jioni pale wauza chipsi wamejipanga kama wote na wateja wao wengi sana wanaume sasa huwa najiuliza kwa ulaji huu wa machipsi tutapona kweli kwa kirusi hichi cha nguvu za kiume
Vyakula vya viwandani vingi
 
Bila kumridhisha mkeo, utachapiwa au hatakuwa na furaha
Sisi wanawake wala hatuhitaji nguvu kubwa kutufikisha ni rahisi sana sema wengi wenu hamjui mrahisishe wapi ndiyo maana mnakomaa na hayo maviagra
 
Back
Top Bottom