Aisee! Leo Nimeshinda Naumwa....

Aisee! Leo Nimeshinda Naumwa....

pole bestito amini Mungu atakukponya
nami mwenzio naumwa kifua na niko kwa job
nkitoka hapa naenda kwa hospital
Wadau!
nimejaribu kuvumilia, kumeza dawa, kukimbia, kuchat ili kuweka hali sawa lakini wapi!!

I'm on the way to hospital..
Pray for me its terrible!!
 
nawashukuru kwa dua zenu mume wangu kiwatengu anaendelea vizuri sana mungu mkubwa japo mshana jr aliaka kuniulia mume wangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom