shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
pole bestito amini Mungu atakukponya
nami mwenzio naumwa kifua na niko kwa job
nkitoka hapa naenda kwa hospital
pole sana dear
pole bestito amini Mungu atakukponya
nami mwenzio naumwa kifua na niko kwa job
nkitoka hapa naenda kwa hospital
ngyiendelea necha mae..
kye ambuya mpora chu, naiamba ngyikepira wai!!
mi sideki hata kidogo...
Utapona tu! Mdaumwenza! Ila simamisha kuchuja nafaka kwanza mpaka upone!
swtyheart!!
mi hata kudeka sijui..
BTW mi siyo soft copy material..
Pole kwa kuuguza dadahaya dear
Pole kwa kuuguza dada
hivi na wewe mkubwa mzima unadanganywa?
Inaweza kuwa ndo dawa ujue?
Ati alinionyesha na msg toka kwako.. Unadai ati Paloma anautumia mwili wa sosoliso chini ya asilimia 5 tuu.. Wakati wewe unaweza kuutumia hadi asilimia 90 lol.. Au The secretary aliitengeneza mwenyewe ile msg..?

hahahaaaa..............wewe.........hebu nipigeni kibao kwanza nizinduke............. The secretary, Lady doctor
Uuuwi The secretary anataka kunivunjia nyumba yangu huku.. Paloma mie mahaba yangu kwako ni ulimi na meno..