Aisee! Leo Nimeshinda Naumwa....

Aisee! Leo Nimeshinda Naumwa....

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Wadau!
nimejaribu kuvumilia, kumeza dawa, kukimbia, kuchat ili kuweka hali sawa lakini wapi!!

I'm on the way to hospital..
Pray for me its terrible!!
 
Pole sana mkuu! I hope your wife and doctors will do the needful and you will get well soon!
 
Utapona tu! Mdaumwenza! Ila simamisha kuchuja nafaka kwanza mpaka upone!
 
Pole shemeji yangu....kua na imani na utapona!!
 
Utapona tu! Mdaumwenza! Ila simamisha kuchuja nafaka kwanza mpaka upone!

nafaka mbona tangu juzi nimemkataza kuchuja tunarudisha afya kwanza he is terribly sick.maombi yenu yanaitajika
 
namshukuru mungu mpenzi wangu hana maleria ni upepo mbaya tu umempitia kihoma kinamtesa sana
 
Back
Top Bottom