Huna mumehahahaaaa..............wewe.........hebu nipigeni kibao kwanza nizinduke............. The secretary, Lady doctor
teh teh teh...nimepona na niko vyema sana..
koko samu ya kristo ilya ile pusuka hala msalapeny ishikyie kapsa mae!
ngyienda kyo mkyeku pfo..
thank you! very much...
Ndugu yangu Arushaone sijamtamani shemeji yangu Lady doctor.. Ninampa sifa tu ya uzuri alionao lol.. Mie na wewe hatudhuriani sema The secretary anataka kutugombanisha..
...........ila mie mbona hunisifiagi hivi.................:shocked::shocked::shocked:??????????
Babe mbona ninakusifiaga mpaka mwenyewe unasema basi umechoka kupewa sifa..?