Aise wakuu UKIMWI ni noma

Aise wakuu UKIMWI ni noma

Nakumbuka kipindi naanza kuota ndevu nikaambiwa usione watu wana nyama ukajichanganya umeisha, kwahiyo nakaa makini kwakweli
Mguu pande mguu sawa..

Ukiwa town / kariakoo,posta e.t.c either viwandani, migodini aisee nikawa karibu na dada mmoja alinipenda nilikula Sana buree mixer anasema niende kwake nikalale yaan nikawa na doubt nae maana before Kuna mwamba aliwai nipa code za mjini niogope wauza chakula/ wale wa dada.
Guess what from know where MT. mmoja akaniona na yule dada akaniota akasema kwa jinsi mlivyo kua mmesimama na yule mdada anakutaka/ nimwambie kitu yupo grid ya taifa akasema na yeye pia yupo na akanionesha TEMBE.
Mimi huwa niki mdoubt mdada huwa sichakati/ Nina uo uwezo wa ku doubt 🧐 wadada.

Ila kwa Sasa ukimwi umekua kama ugonjwa wa kawaida na ili uichakate papuchi/ mbususu kisawa sawa lazima friction itokee
 
Hahahaha htre sana, bruh...... Maake hii dunia ipo moto so poa
 
Unapoanza mauhusiano kitu cha kwanza ni kwenda kupima, ila watu wanajisahau wanaanza kwa kutumia kinga. Baada ya siku 3 mnajiona kama mmeshapima. Wenye wapenzi, wenye ndoa hawataki kutulia na mtu mmoja. Sasa ina maana gani ya kuoa au kuwa na mpenzi?
Kama unakuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.

Nyinyi humu hadi mna thread yenu ya kula kimasihara, kama ni kweli mnafanya hivyo hamjipendi. Mtu anayejipenda kwanza anakuwa na kinyaa na kuchukua tahadhari zote. Ukishindwa kabisa kaa mwenyewe.
 
😁 Mimi huwa na principle min -me anajua nakunywaga jioni konyagi ndogo moja inanitosha.

Sasa Jana nimemaliza kunywa jamaa mmoja akiwa na MSHIKAJI wake tukipiga story za hapa na PALEE naaga wakasema usiondokee..

Nikapiga ingine na ingine aisee AISEEEE hapa kichwa kina uma hangover kichwaa kuuma AISEEEE mpaka sina hamu tenaa nimemaliza supu ya kuku sina hamu Ila siachii ntaanza kuzingatia kipimo changu.
Pole sana mkuu pombe sio chai😅
 
HIV/AIDS haijwahi kubadilika, tangia juzi jana na kesho! Jukumu ni la kila mmoja kuchagua njia sahihi ya kuishi.
 
😁 Mimi huwa na principle min -me anajua nakunywaga jioni konyagi ndogo moja inanitosha.

Sasa Jana nimemaliza kunywa jamaa mmoja akiwa na MSHIKAJI wake tukipiga story za hapa na PALEE naaga wakasema usiondokee..

Nikapiga ingine na ingine aisee AISEEEE hapa kichwa kina uma hangover kichwaa kuuma AISEEEE mpaka sina hamu tenaa nimemaliza supu ya kuku sina hamu Ila siachii ntaanza kuzingatia kipimo changu.
Kwahiyo umeacha wine umeamia katika Keupe .

Keupe ni hatari hiyo huwa wanakunywa watu walioshindikana ni Kama sigara aina ya Nyota.
 
Si tunaambiwa hao wanaotumia dose kwa usahihi uwezo wa kuambukiza ni kwa taabu sana!
 
Back
Top Bottom