maiko sultan
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 871
- 1,976
Hatari sana
Mkuu, Ukiitazama networking yake ndo unaona hatari ya huu ugonjwa.Aisee🤔
Pididy acha uhuni.Hivi mpaka leo haujui kuandika msomi mwenye degree centigrade?unaambiwa kama unapiga kavu machine kula are massage 72 kabla utaburuza mpaka aseme poooo
napittau
Tumia zile dawa ukinywa huambukizwi, halafu unaitwanga mbaya
Tumia wewe bwasheeTumia zile dawa ukinywa huambukizwi, halafu unaitwanga mbaya
100%ni nyero ni mchezo mchafuuuUkijua kuishenyenta utagundua kunyeto ni mchezo wa hovyo 😊
Acha woga,nakuaminiTumia wewe bwashee
Ngoja tuoneAcha woga,nakuamini
Kwa hiyo mtu akiwa na homa za mara kwa mara it's guaranteed kwamba kaungwa JNHPP mkuu?Homa za mara kwa mara zinatesa sana.
Inakuacha bichwa la chini likiuma100%ni nyero ni mchezo mchafuuu
Am here
Kuharisha na kutapika mara 62 kwa wikiKwa hiyo mtu akiwa na homa za mara kwa mara it's guaranteed kwamba kaungwa JNHPP mkuu?
Kwamba amegeuka member wa nyerere dam 😂Kwa hiyo mtu akiwa na homa za mara kwa mara it's guaranteed kwamba kaungwa JNHPP mkuu?
Yeah Sometimes your eyes can be your enemy. Usiamini kwa kuona kwa kweli uzi huu ni mzuri 😃Uzi mzuri
Noma sana mkuuKuharisha na kutapika mara 62 kwa wiki
Kitabakiiiiii mileleeeeeee ni milimaaaaaDunia tunapita eeeh, kila kitu kitabaakiaah, binadamu ni mchangaaah