Ukiwa na Penaldo jua mpo nyuma kwa bao tatuMessi ndio maana halisi ya football. Ukiwa na Messi ushaongoza 1-0.
Kirikuu hatari sana Masta..! Ukitegemea afunge yeye anasambaza upendo, jamaa game awareness yake sio ya kiwango cha dunia hii.Enzo amejaribu sana kufunga nje ya box back to back mpaka kafunga Messi kamsambazia upendo hakufanya hajizi kawajaza England mimba 🤰
Kama ni umri awapishe wanaojiwezaRonaldo ni bonge la mchezaji ila kwa sasa umri umemtupa mkono , kumbuka elkasiko walivyokua wanajibishana na Messi kwenye piki zao
kuna wakati ni kama akili anaziacha pale mgagao kwenye mnada wa nyama choma mwangaMbaga huyu bwashee 😅
Mechi ya pili hii anaiua yeyeMartinez wakati anaingia Tu nikasema mpira umeisha.
Huyu ndio masta wa inter Milani
Kumnyoko zao Argentina
Sio mbayaKwenye ukijana sifikiri kama nipo , 38+ huko
TUNZAAMANI ni jambo la kibinadamu nduguIlikuwa comment nzuri ila umeianza vibaya
Nimekumbuka mbali sanakuna wakati ni kama akili anaziacha pale mgagao kwenye mnada wa nyama choma mwanga
Yes, CR7 pia ana sehemu yake kwenye soka na portugal.Mkuu naona kwa macho yangu mawili nimemshuhudia mchezaji wa aina yake kuwahi kutokea na cr7 siwezi kumwacha kamwe , najivunia hilo
Sio katupishwa, kaondoshwa kwa nguvuKawapisha sasa
mwanga bodaboda sio walevi wote mashehe wanakunywa kahawa tuhNimekumbuka mbali sana