Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,557
- 18,560
Amani gani unazungumziaTUNZA AMANI
nampongeza messi
Amani gani unazungumziaTUNZA AMANI
nampongeza messi
Kubali tu, usikubali nusu nusu, bahati haiwezi kukubeba tu tangu unaanza soka mpaka unastaafu upate takwimu za Messi.Mashabiki wa CR7 tukubali Tu skills za Messi ni kiwango kingine. Japo bahati pia inambeba
michezo na AMANI tunasonga mbele na dira ya taifa sijaona shida ikowapiAmani gani unazungumzia
Angekuwa na ubavu angekaza.. shughuli za wanaume unaanza kutaja mabintiUsiwe shabiki oya oya , una mjua cr7 vizuri sna
Dah kauli nyingine zinachekesha sio poa🤣mama tanzania bila amani ni ngumu kushuhudia mubashara matangazo ya kombe la dunia kupitia TBC
Ndo soka mkuu, pole, sikitika, sahau tusubirie mechi kali sana ya Spain v/s Argentina.Acha nilewe tu bwashee, nina machungu , unaweza fikiria mimi ni mwingereza kabisa😅
Aisee unajua Mkuu..kila aliyemuona..akasema zile Cross za Messi zinaleta Goli..lijamaa halina hurumaMartinez wakati anaingia Tu nikasema mpira umeisha.
Huyu ndio masta wa inter Milani
Kumnyoko zao Argentina
Upako wa Messi😀😀Enzo amejaribu sana kufunga nje ya box back to back mpaka kafunga Messi kamsambazia upendo hakufanya hajizi kawajaza England mimba 🤰
HAhaahah itakua mgeni wewe tuulize sisi wazawamwanga bodaboda sio walevi wote mashehe wanakunywa kahawa tuh
Msamehekuna wakati ni kama akili anaziacha pale mgagao kwenye mnada wa nyama choma mwanga
Ni fire hatari kabisa mkuu.Spain vs Argentina watatupa soka zuri sana , nasimama na kijana wangu lesandro martinez kijana wa matofalini, viva devil.
Yani hao vilema waEngland waweze kukaza mbele Argentina?Mimi simpendi Messi, lakini sikufikiria kabisa kwamba England ya akina Kane itamfunga Argentina. Never!