Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 931
- 3,103
Mi zile cross zilikuwa kama 5 au 6..Aisee unajua Mkuu..kila aliyemuona..akasema zile Cross za Messi zinaleta Goli..lijamaa halina huruma
Pin point cross.. nikajiuliza hii accuracy ni kipaji au kasomea ?
Maana alikuwa anatuma cross ..kwa kipimo Cha urefu wa mchezaji.. haangaiki kufuata mpira...Bali mpira unakuja kwenye kichwa mahali ulipo