nashukuru kumuona CHEGE CHIGUNDA msanii nimpendaye...hapa kazi ipo...ila kura yangu luwasaaa..
Kama kwa kusomba watu kutoka Mara, Shinyanga na Simiyu ndio ushindi tusubiri tarehe 25....
nashukuru kumuona CHEGE CHIGUNDA msanii nimpendaye...hapa kazi ipo...ila kura yangu luwasaaa..
Hapendwi mtu hapo kinachopendwa ni fiesta kwa taarifa yako!Tangu kampeni zianze kumekuwa na propaganda,mara ooh eneo hili ni ngome ya Ukawa nakumbuka mwanza,mbeya na arusha,ilikuwa ikidaiwa hivyo.Lakini kwa tsunami ya leo jioni nimeogopa,nakujua kuwa kweli Magufuli anapendwa aise.
... kweli Magufuli anapendwa aise.
Hao wanaompenda Magufuli watakuja kujuta pale watakaporejeshewa Katiba ile ile iliyopendekezwa waipigie kura!
Tangu kampeni zianze kumekuwa na propaganda,mara ooh eneo hili ni ngome ya Ukawa nakumbuka mwanza,mbeya na arusha,ilikuwa ikidaiwa hivyo.Lakini kwa tsunami ya leo jioni nimeogopa,nakujua kuwa kweli Magufuli anapendwa aise.
Kwenye kumpokea maghufuli kutoka airport nagari Pikipiki na baiskel zilizokodiwa zilikuwa nyingi kuliko watu. Angalia Lowassa anavyopokewa halafu linganisha na maghufuli. Jamani Lowassa anapokewa na watu magufuli anapokewa na kundi lililoandaliwa
Tangu kampeni zianze kumekuwa na propaganda,mara ooh eneo hili ni ngome ya Ukawa nakumbuka mwanza,mbeya na arusha,ilikuwa ikidaiwa hivyo.Lakini kwa tsunami ya leo jioni nimeogopa,nakujua kuwa kweli Magufuli anapendwa aise.
Sijaona wakizimia na nyomi ilikua funika bovu