Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,006
- 74,637
Waondoke waende wapi hapo mjini? Unataka wapotee au waachwe na malori yaliyowaleta?kubebwa sio ishu....swali ni je,walipofikishwa uwanjani walifungwa kamba wasiondoke au la?........
hilo ndo swali la msingi