nashukuru kumuona CHEGE CHIGUNDA msanii nimpendaye...hapa kazi ipo...ila kura yangu luwasaaa..
Hata km tunapenda mabadiliko,uzalendo kwanza!Mwanza na kanda ya ziwa kıujumla ndo nyumbani kwa Magufuri,mioyo itauma kumtoşa na ndıo maana ukienda Arusha ukaitaja CCM utachomwa kisu.Sio kwa sababu Arusha wanampenda sana Lowasa bali kwa sababu ni kwao tu!