kuna ndugu zangu ni chadema wameishia huko uwanjani et kucheck show ....hii ndio tabu tuwe tunapiga bila show kwa hizi siku ili tupunguze kusemwa kwa hilo.....et wamenambia wako FIESTA....so mkutano wetu umekuwa FIESTA dah......ila watakaa kimya tu philo msemo wako tarehe 26