kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 514
Tangu kampeni zianze kumekuwa na propaganda,mara ooh eneo hili ni ngome ya Ukawa nakumbuka mwanza,mbeya na arusha,ilikuwa ikidaiwa hivyo.Lakini kwa tsunami ya leo jioni nimeogopa,nakujua kuwa kweli Magufuli anapendwa aise.
Munadanganywa sana wa Tanzania. Ccm wanajua hali halisi ya kanda ya ziwa. Wanaokoteza wananchi kwa magari na kuwapa pesa ili wakahudhurie. Unategemea nini? Wanajitekenya na kucheka wenyewe.