Aise kumbe Mwanza si ya Ukawa?

Aise kumbe Mwanza si ya Ukawa?

Kama kwa kusomba watu kutoka Mara, Shinyanga na Simiyu ndio ushindi tusubiri tarehe 25....
 
Nimeambiwa malori ya kubebea pamba yalikuwepo kibao! Maana huku kwetu Mr. MALOFA kaja kupayuka tarafa ya Amani wilaya ya Muheza. Ma-FUSO yalikuwa ni utitiri kutoka Muheza mjini kwenda tarafa ya Amani ya kiwa yame jaa wasio jitambua.

Jamaa wamepigwa na mvua huku wakiwa hoi bin taabani kwa njaa.

MAROLI yenyewe haya hapa,picha huwa hazidanganyi daima
 

Attachments

  • 1445099784175.jpg
    1445099784175.jpg
    23.9 KB · Views: 385
  • 1445099808846.jpg
    1445099808846.jpg
    12.3 KB · Views: 330
  • 1445099835856.jpg
    1445099835856.jpg
    31.1 KB · Views: 322
  • 1445099871286.jpg
    1445099871286.jpg
    18.5 KB · Views: 315
  • Thanks
Reactions: nbn
Muhimu ni nani baina ya Magufuli na Lowassa atatupa Katiba tuitakayo?
Fikiria halafu kapige kura siku ya siku! Usipoteze nafasi yako ya kuchagua Katiba uitakayo!!!
 
Nimeambiwa malori ya kubebea pamba yalikuwepo kibao! Maana huku kwetu Mr. MALOFA kaja kupayuka tarafa ya Amani wilaya ya Muheza. Ma-FUSO yalikuwa ni utitiri kutoka Muheza mjini kwenda tarafa ya Amani ya kiwa yame jaa wasio jitambua.

Jamaa wamepigwa na mvua huku wakiwa hoi bin taabani kwa njaa.

Binafsi Leo sijashuhudia loli hata moja,na yy mwenyewe magufuli kauliza Leo je kuna loli lolote limekuja na watu furahisha,kiukweli ukawa inabidi mjiandae kisailolojia kushindwa.mambo aliyoyafanya magufuli Leo ni yaajabu sana hapa ktk ngome ya chadema
 
Tangu kampeni zianze kumekuwa na propaganda,mara ooh eneo hili ni ngome ya Ukawa nakumbuka mwanza,mbeya na arusha,ilikuwa ikidaiwa hivyo.Lakini kwa tsunami ya leo jioni nimeogopa,nakujua kuwa kweli Magufuli anapendwa aise.

Hao wanaompenda Magufuli watakuja kujuta pale watakaporejeshewa Katiba ile ile iliyopendekezwa waipigie kura!
 
Hivi kumbe kuzimia ndiyo kigezo cha nini kwani? Sera zinapomwagwa na mtoto mzuri asiye na hiana kama Magufuli mioyo yooote huinuka na kupona wala hakuna tena kuzimia! Watu huzumia pale wanapokosa Tumaini wanapoenda UKAWA na kukutana na mgonjwa na mtuhumiwa wa nanino kibao

Kuzimia ni kigezo cha levo ya ya maigizo dot com
 
Binafsi Leo sijashuhudia loli hata moja,na yy mwenyewe magufuli kauliza Leo je kuna loli lolote limekuja na watu furahisha,kiukweli ukawa inabidi mjiandae kisailolojia kushindwa.mambo aliyoyafanya magufuli Leo ni yaajabu sana hapa ktk ngome ya chadema

Kwa maana anajuwa kwamba kila mkusanyiko wa FisiCCM lazima MALORI yalete watu kutoka kila kata, kasoro leo mmemdanganya kwamba hapaja tumika lori hata moja sio? Hongera zetu kwa kumdanganya mgombea wenu.

Huku kwetu leo kama kawa. Ma-FUSO yalibeba kupindukia. Maana lazima kuhakikisha mkutano wa Mr. MALOFA una jaa ili kuzuga kwamba FisCCM inakubalika. Ukweli ni kwamba, FisiCCM imesha zikwa kabisa. Ukiona wapiga kura wanamchangia fedha mgombea wao wa UKAWA ili aweze kuendesha kampeni, ujue wamejisikia kwamba UKAWA ni yao na kwa maendeleo yao.
 
Kudadadeki!!!!! kaua bendi duuuh!!!!! ni hatariiiii...... eti lowasa lowasa!!! atulie km alivo wala asitingishike jembe linakuja kumnyoaaaaaa.... chezea Rais Magufuli wewe
 
Magufuli ndiyo rais,hao wengine ni mbwembwe za viroba tu,kila dalili zipo dhahir shahir
 
Hakuna mpenzi wa muziki nchi hii ambaye atajizuia kuhudhuria mikutano ya CCM,
lakini hakuna mpenzi wa mabadiliko ambaye hatahudhuria mikutano ya LOWASA
umeelewa?

Majinga sana hayo Magamba, yalishaziba masikio na macho yakafunika, hayasikii, wala hayaoni.

Na hao wasanii baada ya uchaguzi soko lao lita kuwa limeisha kabisa hapa TZ.

Atakaye bamba ni msaga sumu na Wolper pamoja wengine walio upande wa mabadiriko.
 
Naleo tumefurahia tu fiesta yan huku mwanza ni full ukuwa tu ccm wanajisubua bule tu
 
Back
Top Bottom