Kwani walisombwa kwenda wapi kama walikwenda kwenye mkutano kweli magufuli anapendwa.ukuyaona mabasi yaliyosomba wanafunzi na ngombe. pia fiesta ilikuwepo. kingine malori yalijaa takribani nusu uwanja. nyomi la lowassa huwa ni nouma uwanjani huwa ni roli moja tu na pa system basi.
Poleni mafisadi hapa kazi tu.kuna ndugu zangu ni chadema wameishia huko uwanjani et kucheck show ....hii ndio tabu tuwe tunapiga bila show kwa hizi siku ili tupunguze kusemwa kwa hilo.....et wamenambia wako FIESTA....so mkutano wetu umekuwa FIESTA dah......ila watakaa kimya tu philo msemo wako tarehe 26
absolutely trueMh Dr john p magufuli,rais mteule wa jmtz.
Wataangamia kwa kukosa maarifa, waache kuwa waumini wa chama wawe wapiga kurakuna ndugu zangu ni chadema wameishia huko uwanjani et kucheck show ....hii ndio tabu tuwe tunapiga bila show kwa hizi siku ili tupunguze kusemwa kwa hilo.....et wamenambia wako FIESTA....so mkutano wetu umekuwa FIESTA dah......ila watakaa kimya tu philo msemo wako tarehe 26
Magufuli Leo kauwa,kiukweli jamaa kajipanga
kuna ndugu zangu ni chadema wameishia huko uwanjani et kucheck show ....hii ndio tabu tuwe tunapiga bila show kwa hizi siku ili tupunguze kusemwa kwa hilo.....et wamenambia wako FIESTA....so mkutano wetu umekuwa FIESTA dah......ila watakaa kimya tu philo msemo wako tarehe 26