Airtel number 0782*86*7*

Airtel number 0782*86*7*

marejesho kama ningelikuwa mimi angefurahi, kama unatumia samsung unmblock by address na kumuingiza katika reject list. Akituma mesaage haingii kwako na akikupigia inaonyesha alama ya misscall lakini yeye anaambiwa namba ipo busy milele.

Pole hata hivyo.

hapo ndipo ninapoipendea samsung.
 
Last edited by a moderator:
Dawa ni kudumbikiza hiyo simu yako kwenye maji
 
mi namshangaa marejeshomnamba alinipa mwenyewe majuzi tukiwa ngwasuma,leo anakuja chitchat kunivua nguo , poa tu.
 
[QUOTE Airtel walizembea, nillibiwa boda jana halafu nimeenda pale wananiambia hawataweza ku renew mtandao upo down.
Nimewauliza kama mtandao upo down mbona wanabrowse facebook, hawana jibu[/QUOTE.

We need to upgrade all those people popote walipo
 
mi namshangaa marejeshomnamba alinipa mwenyewe majuzi tukiwa ngwasuma,leo anakuja chitchat kunivua nguo , poa tu.

Sasa Bishanga si ungetuma tu message uniombe nikupigie kuliko zile beep?
Bora tu nilikupa namba ya mtandao mmoja(airtel),maana ningekoma!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli itabidi nijipange nipate angalau kaSamsung kamoja!!!
Wale wote wenye tabia ya kubeep itakula kwako!!

ni kweli samsung ndo kiboko ya hao wazembe. Yaani unamblock tu unamsahau. Ukicheki simu ina missed calls 30 na hauna habari.
Nilishapata freak mmoja nae akanitenda hivyo. Alikuwa ananibip, nikipiga anasema ananipenda nimtumie nauli aje nilipo. Anabip hadi midnite yaani! Nashukuru Nadhani alipata victim mpya akaniacha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom