Airtel Money leo mmeyumba

Pole mkuu ndio airtel yetu hii[emoji846][emoji846]
 
Wapumbavu sana hawa airtel leo wamenifanya nishinde njaa kwenye bus nimefika singida natoa hela ninunue msosi wajinga hawajarudisha msg kwa wakala wala kwangu . Imenibidi nifunge bila kupenda.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mkuu pole sana
 
Pole mkuu
 
Yaan we acha bro...walichonifanya leo..ni fedheha kubwa..sitokuja kuwaamin tena airtel..[emoji35][emoji35][emoji35]..ni wangese sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamekufanyaje??
 
Usishangae ukawa na pesa kwenye account yako ya simu ukataka kufanya muamala wowote ukaambiwa salio lako halitoshi, ukiangalia unaliona lipo...
Huo.ndio ujinga ulionitokea leo sim ina hela ila.siwezi kutransact
 
Nenda tu, Mimi Sasa hivi situmi Hela kwa Airtel au kulipia malipo yoyote staki shida
Nilienda Dawasco mwezi uliopita, Kuna bill za maji nilitakiwa kulipa, ila walinisisitiza nisilipie kwa Airtel money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…