princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Ndo kinachonivurugaItakuwa imeenda mara tatu hyo maana hapo baada ya mda watakuletea message tatu na mkato juu
usicheke moyo unauma hapa na hali ilivyo ngumu[emoji28][emoji28][emoji28] acha afaidi
Nacheka wakati.sijatatua tatizo langu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa huko kwa mda utupe.mrejeshoNilinunua umeme wakakata token sikupata...nikanunua kifurushi wamekata nalo kimya...kwa sasa rasmi nitakua mteja wa Hotel
Voda juzi kuna jamaa kaja na povu za kutoshaTafta tu pengine Airtel sikuhizi ni jipu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnayataka wenyewe bhanaHalafu ni tetesi tu,[emoji23][emoji23][emoji23] wakati wenzake wako busy kusajili arsenal wao ni tetesi tu. Yani litimu limekuwa kama ruvu shooting. Arsenal siwezi kuhama, Ila Airtel nawavutia kasi!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] acha kabisa pimbi hawaTabia ya kuweka hela nyingi kwenye simu naacha leo.Hapa nasubiri manetwork yao yakae sawa nikapukute kila kilicho changu,pumbavu kabisa![emoji51]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] pole mkuuNdo kinachonivurugausicheke moyo unauma hapa na hali ilivyo ngumu
Asante[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] pole mkuu
HahahahahahUnatukashfu sana sisi wana gunners, ajabu sasa natumia Airtel na ni mwana asenali. Leo nimeshindwa kufanya Jambo langu coz hela ilikuwepo Airtel money, nimetoa kitu hakileti msg wala nini. Jpili iliyopita nilikuwa safari, yule dada asingekuwa mstaarabu hela yangu angenidhulumu. Nawapa mda wa kuirekebisha....futseke zao!!
Ninayo hii laini kitambo...lkn miamala nilikua nafanya kwa airtel...kuanzia sasa miamala yote nitahamishia Halotel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa huko kwa mda utupe.mrejesho
Poa mkuu ngoja nisovu hii shida nione nn cha kufanyaNinayo hii laini kitambo...lkn miamala nilikua nafanya kwa airtel...kuanzia sasa miamala yote nitahamishia Halotel
Nishafika ofisini kwao nasubiria majibu.Pia Mimi nimetuma 50k hela wamekata hakuna msg nilikotuma Wala kwangu. Wanatupa uzito sana wa maelewano
Yani hata huku Dom ni changamoto. Nilitaka kujiunga na kifurushi asubuhi ila masweke niliyokutana hayo sina hamu. Mida hii ndiyo nimepata huu ujumbe huu[emoji116]Hameni huko ni miyeyusho
Mimi siweki Hela nyingi kwenye simu hafu makato yamekuwa makubwa Bora kuweka tu bankVoda juzi kuna jamaa kaja na povu za kutosha