Airtel Money leo mmeyumba

Airtel Money leo mmeyumba

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,702
Nimefanya miamala kadhaa hakuna meseji inarudi ila hela mmekata.

Kuna mtu nimemtumia 5000 imeingia kimyakimya.

Sasa hii laki nimetoa kwa wakala naipataje na nina haraka zangu.

Wakala haoni meseji na mimi sioni meseji ila hela mmekata.

Nipo stranded napoteza mda kusubiria meseji irudi na nina matumizi ya msingi.

Namba ya huduma kwa wateja pia haipatikani.

Screenshot_20210709-140517_Messages.jpg
 
Nimefanya miamala kadhaa hakuna meseji inarudi ina hela mmekata.

Kuna mtu nimemtumia 5000 imeingia kimyakimya.

Sasa hii laki nimetoa kwa wakala naipaje na nina haraka zangu.

Wakala haoni meseji na mimi sioni meseji ila hela mmekata.

Nipo stranded napoteza mda kusubiria meseji irudi na nina matumizi ya msingi.

Namba ya huduma kwa wateja pia haipatikani.View attachment 1846708
Hameni huko ni miyeyusho
 
Back
Top Bottom