digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,894
- 14,353
Hamjambo wakuu?
Back to the topic,kila siku binadamu hutafuta na namna ya kupunguza gharama katika kila jambo,binafsi katika mawasiliano Mimi ni napenda sana kutumia airtel kulingana na unafuu wanaoutoa katika mawasiliano yao
Leo katika pita pita zangu nimegundua kuwa airtel hakamatiki kwa Tanzania katika vifurushi vya vya dakika za mitandao yote
Angalia hapa ,vifurushi vyote vina thamani ta shilingi 10,000/= kwa mwezi kwa mitandao miwili,hebu tupate toka Vida,zantel ,ttcl nk ili tujue nani zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app