Airlink ni kero

Airlink ni kero

Amen hapo sawia kabisa mkuu
Ila zile ndege Kwa route ya DSM - Arusha inabeba zaidi Watalii, maana hata Siku ile Mbongo nilikuwa Mimi pekee na rubani Msaidizi 🙌
 
Air Tanzania imeanza Dar-Joburg
Uhamiaji pale Oliver Tambo wanawasumbua sana Watanzania ingawaje hawasemi mpaka wengine wanarudishwa hawataki mtu aliezidisha siku 90 kuishi ndani ya SA ukitumia ndege utarudishwa ila kwa Bus kwa kupitia Botswana hawana huo usumbufu..
 
Air Tanzania imeanza Dar-Joburg
Naona hapa..
Screenshot_20241204_182234_Flightradar24.jpg
 
Back
Top Bottom