Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Mbona zikinunuliwa wananchi wanatangaziwa? Pia zikija watu waenda uwanja wa ndege kuzipokea? Je, iliposhikiliwa hamkuomba huruma kwa watanzania. Iliporuhusiwa mkapigiwa vigelegele.
 
Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Wewe unaumwa kweli. Mashirika makubwa yote ya ndege duniani, ndege zikipata hitilafu wanatangaza. Sijui upo dunia ya wapi.
 
Route gani hizo precision analipisha 51k?
 
Kwa kuwa haijawekwa wazi kilicho tokea, kama ulivyo uliza kwamba kwa nini imefanywa siri? Hivyo ni mapema mno kuhukumu kwamba ndege ni mtumba ama ni mpya. Kesi kama hizo zimesha wahi kujitokeza aidha hitilafu ikatokana na ndege yenyewe ama hitilafu ikasababishwa na rubani. Kama kuna hitilafu imetokea inahitajika uchunguzi wa kina ili kubaini tatizo na chanzo chake ili kuwepo na taadhari. Pongezi kwa rubani kuirudisha ndege ilipotoka na kutua salama.
 
Sijaelewa..!! Uo usiri unaoulalamikia unataka kila ndege ya ATCL ikipatwa na hitirafu unataka Waziri Kamwele aite press atangaze au CEO wa ATCL atabgaze.?? Shirika gani linafanya hivo hapa duniani?
Kwa iyo hii midege ni kama basi za zuberi za mwanza ambazo itirafu kwazo si issue??
Shut up
 
Kuna ndege huwa ikipita maeneo ya vingunguti huwa inatoa sauti ya ajabu inapobadilisha gia(kama cjakosea) sasa cjui ndio hii? Naamini wahusika wanajua lkn kimyaaaaa
 
Ukifika singida wapi mbali kati ya Mwanza na Dar
 
Wale makaburu walituharibia ndege yetu.

Unavyosema iuzwe hela tupewe wajane, hapana. Itengenezwe. Hizo ndege zimenunuliwa Kwa kodi zetu. Zitunzeni.

Huyo rubani amejitahidi.
 
Hizi ndege, mh!!!!!

Wahariri kazi kuandika habari za kusifia tu hasa kumsifu bwana yule, ila kuandika habari kama hizi, hawaandiki!!

Inawezekana kweli mnatishwa,lakini swali ni je,na kusifia mnalazimishwa?
Hata bonbardier ulitulitea mfululilzo wa makala kuhusu ubovu wake
 
Kuna ndege huwa ikipita maeneo ya vingunguti huwa inatoa sauti ya ajabu inapobadilisha gia(kama cjakosea) sasa cjui ndio hii? Naamini wahusika wanajua lkn kimyaaaaa
ndo hiyo hiyo,nashauri watanzania wasipande kabisa ndege za jiwe kwa usalama wao
 
kwann hesabu zake hazikaguliwi na CAG nadhan ndio maana wananunua used
 
Ndugu Pascal Mayalla, Acha uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…